Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

"Mzazi wako, alilewa mpaka akajikojolea"
Wewe mtoto unatangaza kwa majirani! Unapata faida Gani? Badala ya kuwajurisha babu na bibi yako, wewe unawaambia majirani?
Sasa anaonesha shida ya maji kwa dunia nzima anategemea dunia itakuja kutatua hii shida,?kwanini hakutuma hizo picha wizarani, kwa mbunge au waziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mzazi wako, alilewa mpaka akajikojolea"
Wewe mtoto unatangaza kwa majirani! Unapata faida Gani? Badala ya kuwajurisha babu na bibi yako, wewe unawaambia majirani?
Sasa anaonesha shida ya maji kwa dunia nzima anategemea dunia itakuja kutatua hii shida,?kwanini hakutuma hizo picha wizarani, kwa mbunge au waziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na mtu kama wewe ni bora kufuga mbuzi utamchinja Siku ya sikukuu na kunywa supu kuliko mzigo kama wewe. Unaelekea kusema hakuna haja ya magazeti na radio kuripoti chochote maana watasoma dunia nzima.
 
Mambo ya ajabu sana kwahiyo wakimshika ndio maji yatatoka au inakuaje, uhuru wa kutoa maoni uko wapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kabla hawajamkamata, wangehakikisha kwanza maji yanatoka ili wampe shtaka la uchochezi! Katumwa na Trump huyu!
 
mmhh jamani Sasa hapo kortini atasimamishwa kwa kosa gani
 
Serikali ya kidicteta uangalia mambo positive katika njia negative!

Huyu dogo katoa kama tahadhari ili kama mwanafunzi ana uwezo wa kuja na maji kutoka nje ya chun aje nayo yaweze kumsaidia iyo taarifa ukiiangalia upande huo utaona ni taarifa postive.

Elimu elimu elimu police wetu wamefeli shule siwezi kuwahukumu!
Polisi amepewa maelekezo,tena yawezekana na mkubwa wao,yeye(polisi) afanyaje?
Unajua sheria na kanuni za jeshi wewe?
 
Nimesikia Polisi wamemkamata dogo aliepiga hii picha , ana kosa gani ? Hii nchi ya kifala sana tumekuja kugeuzwa wapuuzi wote. Polisi mna mambo mengi ya kufanya ya maana kuliko hili acheni UPUMBAVU
View attachment 1330799
Unamtukanaje polisi?
Yeye katoka huko alikokua bila ya maagizo kutoka kwenye mamlaka ya juu?
Kweli kuna baadhi ya watu hujaji tu kile wanachokiona,hawatafuti kujua huyo aliyetumwa kumkamata kapewa oda na nani na huyo mkamataji sheria ya kazi inambanaje.
 
Niliambiwa hapo UDOM kuna shida ya maji balaa, hadi kusukuma mzigo kule maliwatoni inakuwa mtihani, acheni masihara shughulikieni swala la maji mtawasababishia vijana shida ya maradhi ya kuhara..
 
Wanamuonea. Kwani ni uongo hiyo shida haipo ? Halafu UDOM walitoa gawio eti. Huku hata visima vya maji tu hawawezi chimba.
Shida ni viongozi kufanya kazi kwa kulamba miguu ya wenye mamlaka

Matokeo yake ndo haya watu wanafanya kazi kwa hofu

Baada ya kwenda kukamata vibaka huko nkuhungu na chang'ombe wanakamata raia asiye na hatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom