Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
Kama
Yaani pinda ni genius sana amepiga hesabu ya kiaka ya jpm na samia ...... we jamaa mkutano tu wa jumuiya ndogo hata mwongeaji anaandaliwa sembuse ulemkuta wa mtaa tu una agenda ya wanoantautkumkHakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi, hakuipata.
Kilichotokea ni kuitwa Mizengo Pinda, tena bila ya Mangula kugeuka nyuma akisema kuna mtu hapa nyuma ana neno, akaita Mizengo. Baada ya Mizengo kumuombea kura Samia kilichofuata ni kuanza kupiga kura.
Naona aliona huyu ataanza kujitetea na maneno kibao huku akiomba maji ya kunywa kama ilivyokuwa kwenye mazishi ya Magufuli Chato.
Hakika siasa ni mchezo mtamu tena wenye timing nyingi sana. Leo mla timing (Jakaya) kaliwa timing kwelikweli.