Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,378
- 1,427
Hii katuni inasemaje vile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I think that's what transpired! An intelligent insight![emoji106]Niliongea na JK nikamwambia ni vema asiongee leo
Hana huo uthubutu Mangula wa kumpotezea kikwete.Mwenyewe Mangula bila Kikwete asingefika hapo alipo.Mangula kapiga buti mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, kapatia Sana big up kwake, kwa maneno ya kipuuzi puuzi yanayoendelea ya kumchafua jk ni vema kumnyima maiki mzee kikwete ili kupunguza maneno kidogo.Ila kiukweli Mangula kakosea sana
Tulijua utaandika haya kwa hulka zako za uzushi na uzandikiHakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi, hakuipata.
Kilichotokea ni kuitwa Mizengo Pinda, tena bila ya Mangula kugeuka nyuma akisema kuna mtu hapa nyuma ana neno, akaita Mizengo. Baada ya Mizengo kumuombea kura Samia kilichofuata ni kuanza kupiga kura.
Naona aliona huyu ataanza kujitetea na maneno kibao huku akiomba maji ya kunywa kama ilivyokuwa kwenye mazishi ya Magufuli Chato.
Hakika siasa ni mchezo mtamu tena wenye timing nyingi sana. Leo mla timing (Jakaya) kaliwa timing kwelikweli.
Debatable...Ukimwuliza ASSAD kuhusu hili utashangaa kujua kuna mitazamo tofauti.Kikwete na Nyerere ndio wanasiasa pekee waliofanikiwa kujiweka madarakani kwa uwezo wao binafsi.
kwani alikua anashindana na nani🤔🤔Tena kura za kishindo bila ya Jakaya kumuombea kura ,maana jamaa angejidai yeye ndio kasababisha ashinde kwa kshindo
JK kawachezesha kiduku hawa wasiokata magovinder
Wewe ni mpuuzi na Kikwete ni ****Wanafiki na wajinga wakubwa tu nyie wakati wa kikwete mambo yote yalienda sawa kila sekta pamoja na huo uchuuzi mna lalamika nao,
Sasa huyo limbukeni wenu aliye amini katika kuwachukia matajiri matokeo yake akakwama akaona bora pesa za watumishi na wakulima na wafanya biashara azinyang'anye na kapeleka kwenye miradi ya kutaka sifa halafu anajificha kwenye mgongo wa kuita watu wanyonge na akaona haitoshi akawa hataki hata kukaguliwa matumizi yake ya hovyo ya pesa za umma ,
hana maana na sera zake za kikoloni zilizo chagizwa na ushamba na tamaa ya madaraka, ashukuriwe mungu kwa kumpeleka kuzimu haraka kabla ya madhara kwa taifa na roho yake mbaya.
Nchi ikisha kuwa ya kibepari huwezi kujitenga na ubepari kamwe vinginevyo wananchi waishi kimaskini kama ilivyo kuwa kwa magufuli.
Kuhusu sumu muulize comrade Magoti nani alimtumaBado Mangula hajamsahau hajamsahau Mkwere. kwamba alimrudisha huyo mzee akalime machungwa kule chaugingi njombe,mpaka aliporudishwa kwa kazi maalumu kule Igunga,ndipo alipopandia.Vinginevyo alikuwa anakufa.
Na Ile sumu aliyolishwa hapa ya juzi juzi sijui ulikuwa ni mkono wa nani na kwa nini?
Ni bora imekuwa hivyo maana watu wana maneno maneno, ati Kikwete kampa urais Mama Samia.Hakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi, hakuipata.
Kilichotokea ni kuitwa Mizengo Pinda, tena bila ya Mangula kugeuka nyuma akisema kuna mtu hapa nyuma ana neno, akaita Mizengo. Baada ya Mizengo kumuombea kura Samia kilichofuata ni kuanza kupiga kura.
Naona aliona huyu ataanza kujitetea na maneno kibao huku akiomba maji ya kunywa kama ilivyokuwa kwenye mazishi ya Magufuli Chato.
Hakika siasa ni mchezo mtamu tena wenye timing nyingi sana. Leo mla timing (Jakaya) kaliwa timing kwelikweli.
Masalia ya dhalim tupa kuleeeeeeeHii katuni inasemaje vile!View attachment 1769601
Sijui kwanini Jakaya anawatesa sana mataga... Na bado ndo kwanza kazi imeanzaHakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi, hakuipata.
Kilichotokea ni kuitwa Mizengo Pinda, tena bila ya Mangula kugeuka nyuma akisema kuna mtu hapa nyuma ana neno, akaita Mizengo. Baada ya Mizengo kumuombea kura Samia kilichofuata ni kuanza kupiga kura.
Naona aliona huyu ataanza kujitetea na maneno kibao huku akiomba maji ya kunywa kama ilivyokuwa kwenye mazishi ya Magufuli Chato.
Hakika siasa ni mchezo mtamu tena wenye timing nyingi sana. Leo mla timing (Jakaya) kaliwa timing kwelikweli.
Wewe mbona unapotosha??Muhimu ni kwamba Samia kipenzi cha Jakaya Kachaguliwa kwa kishindo hayo mengine ni kelele tu za nguruwe kumzuia mchinjani.
Ni kawaida watu kuwa na mitazamo tofauti. Ndio uhai wenyewe.Debatable...Ukimwuliza ASSAD kuhusu hili utashangaa kujua kuna mitazamo tofauti.