Dodoma: Mzee Mangula ulichomfanyia Dkt. Kikwete, Mungu anakuona

Kama
Yaani pinda ni genius sana amepiga hesabu ya kiaka ya jpm na samia ...... we jamaa mkutano tu wa jumuiya ndogo hata mwongeaji anaandaliwa sembuse ule
 
Hao wanapanga nani aongee nini na wakati gani wanaijua siasa kuliko unavyodhania unakuja na hoja dhaifu kweli mshatoka kwa Mama sasa mmehamia kwa JK na Mangula mkitoka hapo ni safari ya chato hiyo kwa fuso...
 
Hata makamu wa mwenye nyumba kafika hapo sababu ya Msoga clan, siasa za bara mama kazijua sababu ya Msoga clan. Inatosha tu kusema kwa sasa jamaa kawa ndio Godfather wa siasa zetu baada ya kuondoka Jiwe na Chinga. Hivi unadhani aliyetorosha twiga wetu angerudi tena CCM enzi za jiwe, mnajua nani kamrudisha? ni muda tu kachero mbobezi nae atarudi na hutamsikia kusema atachukua fomu ikifika 2025.
 

Hili nalo neno 😂😂😂😂😂
 
Hao wanapanga nani aongee nini na wakati gani wanaijua siasa kuliko unavyodhania unakuja na hoja dhaifu kweli mshatoka kwa Mama sasa mmehamia kwa JK na Mangula mkitoka hapo ni safari ya chato hiyo kwa fuso...
Acha hasira,hasira ni hasara
 
Ya CCM na kamati kuu yao waachiwe CCM
 
Umenena vyema sana,rejea nchi ilivyokuwa kabla ya Magufuli kuingia Ikulu,huyu akimdraivu mama Samia tunarudi kulekule tulipotoka
 
Vasco Dagama hapendi kujionesha? Unamfahamu au unasimuliwa? Kutompa nafasi ya kumuombea kura wamemuumiza sana kwani hiyo platform lazima alikuwa anaiwania!
Ukweli mchungu,ameumia sana
 
Hana huo uthubutu Mangula wa kumpotezea kikwete.Mwenyewe Mangula bila Kikwete asingefika hapo alipo.

Bila Mangula Kikwete asingemaliza second term, Chama alikifikisha pabaya!! We jiulize kwanini walikwenda kumchukua Mangulla shambani kwake aje kuwa Makamu wao?
 
Nashukuru Mungu , ccm imerudi ya wapiga dili.

Hakika tutamkumbuka Dr Magufuli..

Ujengwe mnara pale Mzena Hospital kwa kumbukumbu za Mh Rais
 
Hayo yako Mkuu na niko mbali kabisa na maandishi yako utayaelezea mwenyewe mambo hatari sitaki shida
Messi ndiye aliyepanga nafasii ya Mwendakwao na kumhitimisha kwa kuona msimu unakuwa mrefu?
 
Nashukuru Mungu , ccm imerudi ya wapiga dili.

Hakika tutamkumbuka Dr Magufuli..

Ujengwe mnara pale Mzena Hospital kwa kumbukumbu za Mh Rais
Hakika tutamkumbuka Magu- the evil men do lives after them.
 

Ni kweli kabisa Mkuu maana utawala wa JK ndiyo ulianza ujenzi hata wa Daraja la Busisi ambalo JPM alikuja kusimamisha na sasa Samia ameamua kuendeleza alipoishia JK. Hakika ni “reborn ya JKM’s Regime” [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…