Ukiona viongozi wa vyombo mbalimbali serikalini wamejipanga kutetea uongo bila uoga ujue kuna baraka za mamlaka iliyo juu sana!! Vinginevyo wangeogopa kuwajibishwa!!
 
Kama ilivyo Kwa huyo mtuhumiwa ni mmoja Kati ya kundi kubwa la viongozi amekengeuka haiwezi kuhalalisha kwamba VITENDO hivyo vinafanywa na Viongozi wote.
Vivyo hivyo Kwa waliopewa dhamana ya upelelezi na kututangazia hawawezi kuwakilisha waovu wote Kutoka katika tasnia hiyo.
Kila mmoja abebe mzigo wake mwenyewe.
 
Ikiwa kweli kifo chake kilitokana na ajili maarufu ya April 2023, na watu wanaficha hizo taarifa utangundua kuwa wananchi wanafichwa mengi na watu wapo tayari kuficha uovu ili kulinda heshima ya mtu mmoja aliyeamua kujiaibisha.
Kuna tetesi kuwa Uongozi wa Chuo cha UDOM ndiyo wanaoficha ukweli ili kulinda HESHIMA ya Chuo.
 
Ukiona viongozi wa vyombo mbalimbali serikalini wamejipanga kutetea uongo bila uoga ujue kuna baraka za mamlaka iliyo juu sana!! Vinginevyo wangeogopa kuwajibishwa!!
Wawajibishwe kwa kosa lipi?
 
Tangu mwendazake alipomtoa kafara Azory Gwanda, waandishi wa habari mumeufyata kabisa.
 
Wewe ni mpumbavu wa mwisho katka dunia hii.Punga kabsaa
Mpumbabu wa mwisho au mpumbabu wa Kwanza? Mpumbabu wa mwisho maanake ni mwerevu wa Kwanza na mwerevu wa mwisho ndiye mpumbabu wa Kwanza!
The vice versa is true
 
Hao nao mala ya tu.Kiben ten cha nini sasa mwisho upate Ukimwi upate stress tena.Mimi nilivyofiwa nilijiinspire kwa mke wa Thomas Sankara, na kwa mke wa Patrice Lumumba. Wale walifiwa wakiwa wabichi kabisa ila walilea watoto wao bila kuolewa tena.
Unafikiri hawakuwa wanapigwa mjegeje?[emoji848]
 
Yamesemwa mengi juu ya ajali hiyo, pole sana kwake.
 
tambi za chuma
 
Duh! Ila kwenye hili ishu ni nini haswa! Mtu kufa kwenye ajali!!? Fumanizi!!? Kumjua aliekufa kwenye ajali!!? Kupotea/kifo cha mwanafunzi wa chuo!!? Au ni nini
ATTACH=full]2612299[/ATTACH]
Kuna watu walinitusi kulingana na mawazo yangu! Niwaulize tu! Muendelezo wa habari mumeupata!!?
 
Asubuhi nilisikia redioni gari tano za nguvu zilisindikiza maiti, nikasema kwa pesa gani hadi gari zoote hizo kusindkiza maiti. Walikuwa wanamhoji baba yake mdogo alishangaa kuona maiti inakuja kifahari.
 
Ukiona tu millard ayo ajafika msibani kuhoji wafiwa wa marehemu ujue hapo kuna kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa jamaa wana tabia maiti ipo ndani we ndugu unakula maswali tu nje hapo
 
Kwa jinsi ambavyo siasa za vyuo vikuu zilivyo kwa wanajumuiya waishio hapo, na hasa kwa maisha ya kila siku ya wanachuo, basi kama kulikuwa kuna mienendo ya kimahusiano katika maisha ya marehemu Nasra itakuwa ni jambo ambalo lipo wazi.

Sidhani kama marehemu alikuwa ni msiri sana kiasi kwamba wenzake wa karibu hawakutambua chochote kile pale alipokuwa nje ama ndani ya mazingira ya chuo. Nafikiri marafiki zake wa karibu walikuwa wanajua mengi kuhusu mitoko yake, na wale ambao aliweka nao mihadi na hata kutoka nao kwenda viwanja kujirusha.

Katika hili Jeshi la Polisi lina kazi ndogo mno kumfuatilia mwenendo wake kupitia watu wanao mfahamu hasa hapo hapo UDOM. Ni lazima tu litapata ushahidi wa kimazingira endapo mheshimiwa alikuwa ndiye " man in the picture".
 
Hili sakata linazidi kujikoroga.
Sasa Mawakii wa kujitegemea wanataka uchunguzi huru juu ya kifo cha Nusra.
Kweli damu ya mtu haipotei bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…