Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilizimwa Na SerikaliHivi hii ilishia wapi?
Na gari lililopata ajali halijulikani lilipo na ni kodi ya wananchi , Ok Mama anaupiga mwingiIlizimwa Na Serikali
Pole nyingi kwake...
Huyu jamaa bado yuko kwa uwaziri?Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana.
UPDATE
Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk Festo Ndugage baada ya kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia Ijumaa.
=====
UPDATES: 29 Aprili 2023
=====
Polisi Dodoma Wakanusha kuhusu habari zilizosambaa kwamba ajali kuna mtu amekufa. Polisi wamedai Festo alikuwa peke yake kwenye gari. Pia wamedai gari iliyopata ajali ni mali ya Naibu Waziri Festo sio Mali ya Serikali. Majeruhi amelazwa Hospitali ya Benjamini Mkapa Dodoma.
Polisi wamewataka wananchi kuacha kusmabaza taarifa za uongo na kuzua taharuki.
Polisi wamedai wapo Makini hivyo wananchi wasisite kufika Ofisini kwao kupata ufafanuzi wa taarifa zozote wanazotilia shaka
View attachment 2604537