cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Basi ndio maana alikimbia ukute mume wa huyo dada na mkewe walijipanga mweshimiwa akaogopa marinda yake [emoji2][emoji2][emoji2]Kule Twitter wanasema Ni mke wa MTU na wanaishi maeneo ya UDOM. inaweza kua Ni mwanafunzi wa chuo pia.
Alikua anamrudisha UDOM baada ya kumchakata. Inasemekana waziri alikua tilalila.