Dodoma ndio Jiji lenye modern real estate kwa Tanzania

Ni kweli mkuu, kwasaivi Dodoma ina muingiliano mkubwa wa watu kwasababu ya flexibility ya usafiri wa haraka- SGR

Sijui wamiliki wa Kitambaa Cheupe na Samaki Samaki wanafeli wapi, wangeanzisha matawi na dodoma kama alivyofanya Niffer na Vunja Bei.

Point yako kubwa ni hiyo ya kuanzisha Fun City nje ya Jiji la Dodoma, ni bonge moja la idea na lingebamba sana, watu wangefurika huko aisee.

Airport ya msalato ikikamilika dodoma itakuwa level zingine kabisa.
 
Daah ngoja nipate mkwanja mkuu haya ndio madini
 
Hapa umeongea kitaalamu
 
Kufurika Kwa watu au kuto furika kutategemeana na wana Dodoma wenyewe wamejipanga vipi Kwa fursa ndo mana nika sema bado hakuna mazingira ya kukwazika watu wasiende dar hakuna, hivo ni ngumu sana kuchangamka kama dar, waboreshe sehemu watu hawapend kutoka weekend kwenda dar ila ina walazimu
 
Watu mnapenda kujifurahisha! Sasa 20 years DAR yenyewe itakuwa imesimama tu inamsubiria Dodoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…