Dodoma ndio Jiji lenye modern real estate kwa Tanzania

Naamini wawekezaji watafungua njia, nature ya wagogo ni kama wazaramo wamezubaa, wageni ndio wameleta maendeleo.
 
Wanajipa moyo japo inawezekana, hofu yangu Dodoma hamna majengo marefu wote wanao Jenga wanajenga kawaida sana, pale city center ukisimama unaweza hesabu ghorofa refu zilizopo na ukamaliza
Jiografia na technology ilikuwa changamoto, kwasasa utafiti umefanyika inawezekana kujenga ghorofa kubwa bila kujali tetemeko, wataanza kuachia maghorofa huko mbele ya safari.
 
Wanajipa moyo japo inawezekana, hofu yangu Dodoma hamna majengo marefu wote wanao Jenga wanajenga kawaida sana, pale city center ukisimama unaweza hesabu ghorofa refu zilizopo na ukamaliza
Afu dodoma city center sio nyerere square, posta ya dodoma ipo mtumba huko kwaabadae itakuwa smart city ya mfano Tz.
 
Liquid Walijaribu Hapo Jirani Na Tango Baadaye Walifunga Tatizo Sijui Ni Nini
 
Mkuu kama umekaribia kuaga uza ule bata kabla hujafa mkuu! Wajukuu hawana shukrani!
Aaah babu mbona wajukuu hatuna noma na babu zetu.
Ila haya maisha kuna muda yanakupiga unaomba wazee wakate tu moto uanze kula kodi 😂
 
Wanajipa moyo japo inawezekana, hofu yangu Dodoma hamna majengo marefu wote wanao Jenga wanajenga kawaida sana, pale city center ukisimama unaweza hesabu ghorofa refu zilizopo na ukamaliza
Mkuu ulifika kweli Dom au uliishia Nyerere Square tu...😂😂😂unajua idadi ya maghorofa yaliyopo
-Magufuli City Mtumba,
-Tambukareli Government City,
-UDOM
-Medeli
-Uzunguni(kwa Waheshimiwa)
-Njedengwa Investment Area
-Kisasa

N.k
 
Ukale vumbi na baridi
-Vumbi litoke wapi wakati Dodoma ndio jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami na kilasiku wanapendelewa wanazidi kuongezewa mpya.
-Hali ya hewa ya Dodoma ni "moderate" yaani sio joto sana wala sio baridi sana japo kuna miezi kuanzia June hadi September baridi huwa kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…