SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Au kama vipi Corona impitie na yeye.Nimekosa cha kumwambia kwa kweli. Mungu ashughulike naye yeye mwenyewe kwa atakavyoona inastahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kama vipi Corona impitie na yeye.Nimekosa cha kumwambia kwa kweli. Mungu ashughulike naye yeye mwenyewe kwa atakavyoona inastahili.
Au kama vipi Corona impitie na yeye.Nimekosa cha kumwambia kwa kweli. Mungu ashughulike naye yeye mwenyewe kwa atakavyoona inastahili.
Kusema ukweli ni hasara kwa Watanzania kuwa na bunge lililojaza maccm yasiyokuwa na utu zaidi ya kujali matumbo yao na maslahi ya chama chao tu.Laanatullah nilijua anayo Magufuli pekee aliyesema mshahara haumtoshi kumbe na baadhi ya wabunge wana laana
Aache Ubunge akajiajiri... Kench taip"Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga
====
Dodoma. Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga amewataka wabunge kuwaeleza wananchi ukweli kuwa mishahara na posho wanazolipwa hazitoshi.
Maganga aliyasema hayo jana Jumatatu Juni 21, 2021 bungeni mjini Dodoma wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.
“Nikiwa bado sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha. Nimeangalia mabunge mengine Afrika ya Kusini pamoja na Kenya pamoja na mabunge mengine wanalipa kwa dola,” amesema huku akipigiwa makofi na wabunge wengine.
Amewataka wabunge kueleza ukweli wananchi kuhusu malipo yao, “tumekuwa tukitukanwa kwenye mitandao. Waziri na mimi hii kazi niliiomba kwa roho yangu moja na mimi nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko. Pesa inayolipwa posho, mishahara haitoshi,” amesema.
Huku akiitaka Serikali kuwaangalia ili wafanane na mabunge mengine amesema, “tusiwe wajanjawajanja, ninaujua utapeli wa kila aina lakini sitaki niwe tapeli wananchi wajue wana mbunge mwenye hela huku hakuna kitu kinachoendelea.”
Amesema Bunge la bajeti limebakiza siku tisa kumalizika na wananchi wanapoona wabunge wamerejea majimboni wasidhani kuwa wana fedha akisisitiza, “bungeni hakuna kitu.”
Chanzo: Mwananchi
View attachment 1826321
HUYU ANATAKA AONGEZEWE MSHAHARA , UNAMSHAURI NINI ?
uyo"Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga
====
Dodoma. Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga amewataka wabunge kuwaeleza wananchi ukweli kuwa mishahara na posho wanazolipwa hazitoshi.
Maganga aliyasema hayo jana Jumatatu Juni 21, 2021 bungeni mjini Dodoma wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.
“Nikiwa bado sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha. Nimeangalia mabunge mengine Afrika ya Kusini pamoja na Kenya pamoja na mabunge mengine wanalipa kwa dola,” amesema huku akipigiwa makofi na wabunge wengine.
Amewataka wabunge kueleza ukweli wananchi kuhusu malipo yao, “tumekuwa tukitukanwa kwenye mitandao. Waziri na mimi hii kazi niliiomba kwa roho yangu moja na mimi nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko. Pesa inayolipwa posho, mishahara haitoshi,” amesema.
Huku akiitaka Serikali kuwaangalia ili wafanane na mabunge mengine amesema, “tusiwe wajanjawajanja, ninaujua utapeli wa kila aina lakini sitaki niwe tapeli wananchi wajue wana mbunge mwenye hela huku hakuna kitu kinachoendelea.”
Amesema Bunge la bajeti limebakiza siku tisa kumalizika na wananchi wanapoona wabunge wamerejea majimboni wasidhani kuwa wana fedha akisisitiza, “bungeni hakuna kitu.”
Chanzo: Mwananchi
View attachment 1826321
HUYU ANATAKA AONGEZEWE MSHAHARA , UNAMSHAURI NINI ?
mjinga sana huyo mbunge mbona hawatetei watumishi wa umma ambao wanaishi kwa shida na mishahara yao hata haiwafikishi mwisho wa mwezi.halafu yeye na wenzake wanataka iongezeke tena ilipwe kwa dola.afrika kusini,kenya je uchumi wao uko sawa na wa tanzania.hao ndiyo wabunge wanafiki ambao wananchi tunapaswa kuwa nao makini.wao waongezewa wengine kodi ya PAYE juu halafu wao hamna kodi wanayokatwa je huo siyo usaliti kwa wananchi?anasema wanaowashambulia ni wa mitandaoni tu lkn si wananchi,je kuna utafiti gani alioufanya kuwa wananchi wanariddhia jambo hilo.wacha nao wasage benki ili akili ziwasogee."Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga
====
Dodoma. Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga amewataka wabunge kuwaeleza wananchi ukweli kuwa mishahara na posho wanazolipwa hazitoshi.
Maganga aliyasema hayo jana Jumatatu Juni 21, 2021 bungeni mjini Dodoma wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.
“Nikiwa bado sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha. Nimeangalia mabunge mengine Afrika ya Kusini pamoja na Kenya pamoja na mabunge mengine wanalipa kwa dola,” amesema huku akipigiwa makofi na wabunge wengine.
Amewataka wabunge kueleza ukweli wananchi kuhusu malipo yao, “tumekuwa tukitukanwa kwenye mitandao. Waziri na mimi hii kazi niliiomba kwa roho yangu moja na mimi nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko. Pesa inayolipwa posho, mishahara haitoshi,” amesema.
Huku akiitaka Serikali kuwaangalia ili wafanane na mabunge mengine amesema, “tusiwe wajanjawajanja, ninaujua utapeli wa kila aina lakini sitaki niwe tapeli wananchi wajue wana mbunge mwenye hela huku hakuna kitu kinachoendelea.”
Amesema Bunge la bajeti limebakiza siku tisa kumalizika na wananchi wanapoona wabunge wamerejea majimboni wasidhani kuwa wana fedha akisisitiza, “bungeni hakuna kitu.”
Chanzo: Mwananchi
View attachment 1826321
HUYU ANATAKA AONGEZEWE MSHAHARA , UNAMSHAURI NINI ?
Niliwahi kushauri Ubunge usiwe na mshahara, iwe kama kazi ya kujitolea na wawezeshwe wanapokua kikaoni kwa posho kidogo, humo tutapata Wabunge tunaowataka na watakaotutumikia sio hawa walionunua nafasi na sasa wanaona m. 12 ni kidogo kwakua wanadaiwa. Yaani mshahara na posho za Ubunge ambazo ni zaidi ya 10m ni ndogo anajilinganusha na mtumishi gani wa umma? Daltari, Nesi au Mwalimu?
Ni kweli kabisa. Nafasi za ukuu wa Mkoa na wilaya zingefutwa na ubunge ukawa wa kujitolea tu kama udiwani upumbavu kama huu tusingeusikia. Alaaniwe dhalim kwa kutuharibia mfumo wa utawala katika nchi yetuNiliwahi kushauri Ubunge usiwe na mshahara, iwe kama kazi ya kujitolea na wawezeshwe wanapokua kikaoni kwa posho kidogo, humo tutapata Wabunge tunaowataka na watakaotutumikia sio hawa walionunua nafasi na sasa wanaona m. 12 ni kidogo kwakua wanadaiwa. Yaani mshahara na posho za Ubunge ambazo ni zaidi ya 10m ni ndogo anajilinganusha na mtumishi gani wa umma? Daltari, Nesi au Mwalimu?
"Impitie na yeye", kama ilivyompitia nani?Au kama vipi Corona impitie na yeye.
Nimekosa cha kumwambia kwa kweli. Mungu ashughulike naye yeye mwenyewe kwa atakavyoona inastahili.
Dhalim"Impitie na yeye", kama ilivyompitia nani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Atakuwa mutheing huyu"Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga