Dodoma: Nicodamus Maganga (Mbunge) adai Mishahara na Posho haiwatoshi Wabunge. Ashangiliwa...

hahahahahhahaha....haww ndio wako tayari kuua au kutoa watu kafara ili wawe wabunge maana wanaamini ndio kazi pekee inayoweza kupatikana kirahisi na kulipwa hela nyingi..

Waje huku uraiani ipo hadi mishahara ya $100K to $8K na mabonus yakutosha + 1st air ticket+ 5* hotel....ila tu uwe na akili zinazoweza kutafsili mambo na kuleta matokeo na mwisho wa siko trillioni za hela zikaingia..
 
Alafu kuna mijitu ilipiga makofi
Sio wajinga ni issue ya masilahi yao hivyo lazima wapige makofi, tatizo ni sisi wananchi ndio huwa tunapigania masilahi ya wanasiasa badala ya masilahi yetu.
 
"Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga

====

Dodoma. Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga amewataka wabunge kuwaeleza wananchi ukweli kuwa mishahara na posho wanazolipwa hazitoshi.

Maganga aliyasema hayo jana Jumatatu Juni 21, 2021 bungeni mjini Dodoma wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.

“Nikiwa bado sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha. Nimeangalia mabunge mengine Afrika ya Kusini pamoja na Kenya pamoja na mabunge mengine wanalipa kwa dola,” amesema huku akipigiwa makofi na wabunge wengine.

Amewataka wabunge kueleza ukweli wananchi kuhusu malipo yao, “tumekuwa tukitukanwa kwenye mitandao. Waziri na mimi hii kazi niliiomba kwa roho yangu moja na mimi nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko. Pesa inayolipwa posho, mishahara haitoshi,” amesema.

Huku akiitaka Serikali kuwaangalia ili wafanane na mabunge mengine amesema, “tusiwe wajanjawajanja, ninaujua utapeli wa kila aina lakini sitaki niwe tapeli wananchi wajue wana mbunge mwenye hela huku hakuna kitu kinachoendelea.”

Amesema Bunge la bajeti limebakiza siku tisa kumalizika na wananchi wanapoona wabunge wamerejea majimboni wasidhani kuwa wana fedha akisisitiza, “bungeni hakuna kitu.”

Chanzo: Mwananchi

HUYU ANATAKA AONGEZEWE MSHAHARA , UNAMSHAURI NINI ?
Wabunge wa Tanzania wanafanya kazi kubwa mboo ya kuisimamia serikali , wanatakiwa kupewa mshahara usiopungua milion 20 kwa week. Tena ukizingatia Tanzania ni bonge la nchi tajiri wana kila haki ya kudai pesa hiyo.
 
Ndio mipango ya kujiongezea mishahara inaanza hivyo. Huyu hayuko peke yake bali anawakilisha wenzake.
 
Wabunge sio wazalendo wapo kwa maslahi binafsi na wasiwasi ndio msimamo wa awamu hii maslahi binafsi kwanza afadhali wamu iliyopita walikuwa wanalazimishwa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
hao ndio wabunge wa ccm wapo kwa ajili ya maslahi yao sio ya wale wengi ambao ni maskin wa kutupwa yote haya yalisababishwa na bwana yule
Screenshot_20210622-164334_Instagram.jpg
 
Hana shukrani

anajisahau wao ni kati ya watanzania wanaokula the best parts of the National Cake
Mungu amtendee kadri ya Rehema zake🙏🏽
 
"Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga

====

Dodoma. Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga amewataka wabunge kuwaeleza wananchi ukweli kuwa mishahara na posho wanazolipwa hazitoshi.

Maganga aliyasema hayo jana Jumatatu Juni 21, 2021 bungeni mjini Dodoma wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.

“Nikiwa bado sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha. Nimeangalia mabunge mengine Afrika ya Kusini pamoja na Kenya pamoja na mabunge mengine wanalipa kwa dola,” amesema huku akipigiwa makofi na wabunge wengine.

Amewataka wabunge kueleza ukweli wananchi kuhusu malipo yao, “tumekuwa tukitukanwa kwenye mitandao. Waziri na mimi hii kazi niliiomba kwa roho yangu moja na mimi nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko. Pesa inayolipwa posho, mishahara haitoshi,” amesema.

Huku akiitaka Serikali kuwaangalia ili wafanane na mabunge mengine amesema, “tusiwe wajanjawajanja, ninaujua utapeli wa kila aina lakini sitaki niwe tapeli wananchi wajue wana mbunge mwenye hela huku hakuna kitu kinachoendelea.”

Amesema Bunge la bajeti limebakiza siku tisa kumalizika na wananchi wanapoona wabunge wamerejea majimboni wasidhani kuwa wana fedha akisisitiza, “bungeni hakuna kitu.”

Chanzo: Mwananchi

HUYU ANATAKA AONGEZEWE MSHAHARA , UNAMSHAURI NINI ?
Du, uyu mbunge mungu anamuona, Kuna watumishi wanaolipwa kuanzia laki moja na kuendelea kuanzia sector binfsi ,Mpaka serikalini

Sasa mbunge kazi gani anafanya, mshaara wa mbunge hautakiwi zaidi mil 3 take home KWA mapato yote yakijumlishwa ,

Alafu uyu mbunge anajiringanisha na kenya, SA, ajui pia nchi tajwa kiuchumi ziko juu,
 
Bila shaka Watanzania hasa mababu zetu walitenda dhambi kubwa sana.
Imagine tulipataje viongozi kama Magufuli na hawa wabunge aliowapachika😥😥😥😥😥😥
Kusema ukweli ni hasara kwa Watanzania kuwa na bunge lililojaza maccm yasiyokuwa na utu zaidi ya kujali matumbo yao na maslahi ya chama chao tu.
 
"Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga

====

Dodoma. Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga amewataka wabunge kuwaeleza wananchi ukweli kuwa mishahara na posho wanazolipwa hazitoshi.

Maganga aliyasema hayo jana Jumatatu Juni 21, 2021 bungeni mjini Dodoma wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.

“Nikiwa bado sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha. Nimeangalia mabunge mengine Afrika ya Kusini pamoja na Kenya pamoja na mabunge mengine wanalipa kwa dola,” amesema huku akipigiwa makofi na wabunge wengine.

Amewataka wabunge kueleza ukweli wananchi kuhusu malipo yao, “tumekuwa tukitukanwa kwenye mitandao. Waziri na mimi hii kazi niliiomba kwa roho yangu moja na mimi nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko. Pesa inayolipwa posho, mishahara haitoshi,” amesema.

Huku akiitaka Serikali kuwaangalia ili wafanane na mabunge mengine amesema, “tusiwe wajanjawajanja, ninaujua utapeli wa kila aina lakini sitaki niwe tapeli wananchi wajue wana mbunge mwenye hela huku hakuna kitu kinachoendelea.”

Amesema Bunge la bajeti limebakiza siku tisa kumalizika na wananchi wanapoona wabunge wamerejea majimboni wasidhani kuwa wana fedha akisisitiza, “bungeni hakuna kitu.”

Chanzo: Mwananchi

HUYU ANATAKA AONGEZEWE MSHAHARA , UNAMSHAURI NINI ?
Namuunga mkono Mh. Mbunge. Mishahara na posho zao ni kidogo na iongezwe ili waweze kufanya kwa ufanisi.
 
Aache kufuru. Mbona hawapigi kelele walimu na madaktari wapandishiwe mishahara ama kuboreshewa mazingira ya kazi?

Wasiwe wabinafsi kiasi hicho
 
Really
"Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga

====

Dodoma. Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga amewataka wabunge kuwaeleza wananchi ukweli kuwa mishahara na posho wanazolipwa hazitoshi.

Maganga aliyasema hayo jana Jumatatu Juni 21, 2021 bungeni mjini Dodoma wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.

“Nikiwa bado sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha. Nimeangalia mabunge mengine Afrika ya Kusini pamoja na Kenya pamoja na mabunge mengine wanalipa kwa dola,” amesema huku akipigiwa makofi na wabunge wengine.

Amewataka wabunge kueleza ukweli wananchi kuhusu malipo yao, “tumekuwa tukitukanwa kwenye mitandao. Waziri na mimi hii kazi niliiomba kwa roho yangu moja na mimi nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko. Pesa inayolipwa posho, mishahara haitoshi,” amesema.

Huku akiitaka Serikali kuwaangalia ili wafanane na mabunge mengine amesema, “tusiwe wajanjawajanja, ninaujua utapeli wa kila aina lakini sitaki niwe tapeli wananchi wajue wana mbunge mwenye hela huku hakuna kitu kinachoendelea.”

Amesema Bunge la bajeti limebakiza siku tisa kumalizika na wananchi wanapoona wabunge wamerejea majimboni wasidhani kuwa wana fedha akisisitiza, “bungeni hakuna kitu.”

Chanzo: Mwananchi

HUYU ANATAKA AONGEZEWE MSHAHARA , UNAMSHAURI NINI ?
?!!
 
Hawa wajinga wanatudharau sn, posho ya siku moja ni sawa na mshahara wa mwalimu mmoja lakini bado kwao ni kidogo
 
Acha wajiongezee wale washibe mpaka wapasuke

Ova
 
Back
Top Bottom