Dodoma: Pamoja na katazo la Kiongozi wao, Wabunge kadhaa wa CHADEMA wakiwemo Silinde na Lijualikali wahudhuria bungeni

Baada ya Wabunge wa Upinzani hasa CHADEMA kugomea kuingia Bungeni ili kupitisha bajeti ya wananchi waliowachagua hali imekua tofauti kwa wabunge hao wanaonekana wameiva Kifikra na waliojawa huruma kwa wananchi wao waliowachagua mwaka 2015.
 
wabunge "njaa kali" hao kina Silinde.
baada ya October, ubunge watakuwa wanautizama kwenye luninga tu!
 
Hayo maamuzi mara zote wengine huwa wanaburuzwa tu.

Likely walikuwa wanaenda kusaini mahudhurio tu then wanarudi home ndo maana wote bado wapo Dom!
 
Natafuta comment ya salaryslip

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Chadema kuna mgawanyiko wa ndani
Kitu kikubwa ile posho ya 300,000/= inawachanganya sana wabunge, kitendo cha wabunge Wa chadema kujiweka karantini kwa muda Wa Siku 14 watakosa posho ya 3,420,000/=.hilo ndo tatizo
 
Baada ya Wabunge wa Upinzani hasa CHADEMA kugomea kuingia Bungeni ili kupitisha bajeti ya wananchi waliowachagua hali imekua tofauti kwa wabunge hao wanaonekana wameiva Kifikra na waliojawa huruma kwa wananchi wao waliowachagua mwaka 2015.
Huruma Ni posho ya 300,000/= sio kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…