Dodoma: Pamoja na katazo la Kiongozi wao, Wabunge kadhaa wa CHADEMA wakiwemo Silinde na Lijualikali wahudhuria bungeni

..kweli.

..lakini haiwezekani kuwepo na hoja halafu iungwe mkono 100%.

..vijana mkienda na attitude kwamba msimamo wa chama ni lazima uungwe mkono 100% mtakuja kuleta shida nchini.
Kama ni hivyo basi hamuwezi kupewa nchi muongoze itakuwa hatari kwa Taifa la Tanzania.
 
Kama ni hivyo basi hamuwezi kupewa nchi muongoze itakuwa hatari kwa Taifa la Tanzania.

..kutofautiana ni hali halisi ya kibinadamu.

..jambo la msingi ni kila mmoja kuheshimu mawazo ya mwenzake.

..ukiyatambua hayo mawili hapo juu ndipo utakapoweza kuepusha migogoro ndani ya jamii na nchi kwa ujumla.

..Tatizo na Magufuli ni kutokuheshimu na kuogopa mawazo ya wengine. Yeye tofauti ya mawazo na mitizamo anaichukulia kama uadui.

..Na ndiyo maana haishi kutuhumu waliotofautiana naye kuwa wanamhujumu au wanatumiwa na mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…