SIUNGI MKONO SUALA LA KUUZA MTOTO.
walakini ,
Jeshi la Polisi liende Kwa AKILI juu ya jambo hili na siomiguvu.
Huyo mwenye Clip, kama lengo ni kuuza mtoto Kwa NIA OVU angefanya kimya kimya tu.
Lkn kujirekodi hadharani maana yake ni nn?.
Jamaa Hana Maisha, Hana Kila kitu, na huyo mtoto Kwa huo umri anahitaji uhakika wa Fedha tu .
Na pengine Mama wa mtoto alikimbiaaa kitambo .
Watu wanakufa watoto, wanatupa majalalan, sababu hua ni hizohizo GHARAMA za Maisha.
Je kipi Bora, angemuua? Angemtupa?.
Kumuuza mtoto waziwazi namna hiyo, maana yake mnunuaji pia atamnunja waziwazi na kwa makubaliano ya kua HUYU ATAKUA MTOTO WANGU NITAMLEA, USIJE KUMDAI HATA SIKU MOJA.
Nadhan huyo Kijana, Hilo ndo lilikua kichwan kwake.
Wakimpata wakae naye, wajue nn shida , achungizwe Afya yake ya akili na ASAIDIWE.
ASIFUNGWE