Dodoma: Polisi yamsaka nchi nzima aliyetangaza kuuza mtoto kwenye mitandao ya kijamii kwa TSh. milioni 1.6

Dodoma: Polisi yamsaka nchi nzima aliyetangaza kuuza mtoto kwenye mitandao ya kijamii kwa TSh. milioni 1.6

SIUNGI MKONO SUALA LA KUUZA MTOTO.

walakini ,
Jeshi la Polisi liende Kwa AKILI juu ya jambo hili na siomiguvu.


Huyo mwenye Clip, kama lengo ni kuuza mtoto Kwa NIA OVU angefanya kimya kimya tu.

Lkn kujirekodi hadharani maana yake ni nn?.

Jamaa Hana Maisha, Hana Kila kitu, na huyo mtoto Kwa huo umri anahitaji uhakika wa Fedha tu .

Na pengine Mama wa mtoto alikimbiaaa kitambo .

Watu wanakufa watoto, wanatupa majalalan, sababu hua ni hizohizo GHARAMA za Maisha.

Je kipi Bora, angemuua? Angemtupa?.

Kumuuza mtoto waziwazi namna hiyo, maana yake mnunuaji pia atamnunja waziwazi na kwa makubaliano ya kua HUYU ATAKUA MTOTO WANGU NITAMLEA, USIJE KUMDAI HATA SIKU MOJA.
Nadhan huyo Kijana, Hilo ndo lilikua kichwan kwake.

Wakimpata wakae naye, wajue nn shida , achungizwe Afya yake ya akili na ASAIDIWE.

ASIFUNGWE
 
Kumuuza mtoto siyo kosa.
Kwani mahari ni nini?

Unafiki sasa.
Kwanza unatangaza mtoto wa miaka minne,Christina,amejinyonga jana kwa vile hakununuliwa nguo ya Christmas.
Halafu leo unasema unamsaka mtu anayetaka kumuuza mtoto wake.
Siyo kosa MIMI nasema siyo kosa,
Siyo kosa kwa sababu Imeandikwa katika Msahafu kwamba unaweza kusema ",Ah,unakwenda Katavi kikazi? Sasa nisaidie jambo hili, yupo mtoto pale nataka kumnunua. Waambie wazazi wake au mama yake au babu au mlezi wake yoyote kwamba nataka kumnunua yule mtoto."
 
Unaweza kuta ni vuta bangi fulani limeamua tu kufanya vituko mitandaoni wala haliuzi huyo mtoto
 
huyu ni mwanaume sasa mama wa mtoto yupo wapi bila kusahau ndugu wa pande zote mbili..mm naona huyu alijipost mitandaoni kwa lengo la kupata kiki tu nae atrend mjini..tatizo polisi wetu nao mambo ya kijinga ndio wanayapa uzito ila mambo mazito yaliyo hatari na serious wanaleta blahablah tu
 
Umeona
Naona ishu ya kabendera inatafutiwa spinning ya hali ya juu..
Hii ni habar ya kutangaza.kweli hadi na mabarua mitandaoni? [emoji16] Mtu mwenye akili timamu anawesa kujirekodi anauza mtoto mitandaoni? Ana shida ya hela , hela ya kununua smartphone kaipata wapi..?
Umeonaee,jamaa tukisema akili hawana wanadai wanatukanwa.

Kabendera hakuna wa kumzimia karabai lake.
Lile lishawaka tayali.
Acha wavune,ya Sativa Tena Kabendera
 
Bali afuataye mambo ya upuuzi atapata umaskini wa kumtosha.Mithali 28:19.
 
ugumu wa maisha nazani ndio chanzo cha tatizo, nazani huyo raia alikuwa anashindwa hata kumuhudumia huyo mtoto mamlaka husika inapaswa kuliangalia suala hili kwa upana na sio kwa kutumia nguvu ili kuona namna ya kumsaidia huyo mtoto na huyo raia ambaye bila shaka inaonesha anashida flani inamsumbua inaweza kuwa ya kifedha.
 
Ameshajitokeza huko anaomba radhi anadai yeye ni mtengeneza maudhui wa mtandaoni🤣🤣
 
Back
Top Bottom