Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Msemaji mkuu wa polisi anaandika sheia badala ya sheria?😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaee,jamaa tukisema akili hawana wanadai wanatukanwa.Naona ishu ya kabendera inatafutiwa spinning ya hali ya juu..
Hii ni habar ya kutangaza.kweli hadi na mabarua mitandaoni? [emoji16] Mtu mwenye akili timamu anawesa kujirekodi anauza mtoto mitandaoni? Ana shida ya hela , hela ya kununua smartphone kaipata wapi..?