Sasa nadhani mmeona utendaji wa kazi wa huyo mnayeimba "MITANO TENA"?Hivi hadi katibu mkuu wizara anatoa tamko inamaana alijitolea tuu au lilikuwa kwenye mpango linafahamika na waziri wake pamoja na baraka la baraza la kawazidi? Na kama alijitolea mwenyewe tu je kuna mangapi maamuzi yamefanyika kwa utashi tu wa mtu?
Kuwaambia watu wapuuze nadhani ni kosa kubwa lakiufundi kwenye utendaji mzima hakuna credit yoyote unayopata zaidi yakupoteza point
MIA MOJA ASILIMIA BILA KUPINGA
Yaani hii Ngoma aliipitisha mwenyewe kwenye cabinet alafu hapa kaja kuwaruka Mita Mia baada ya kuona Wananchi wote wako kwa Lissu na anaenda kupoteza hadi wale wajinga wake aliobaki nao ππππππππHata mie nashangaa. Maana katika hali ya kawaida kwenye serikali yoyote najua uamuzi wowote wa kubadili sera huletwa kwenye baraza la mawaziri (ambapo rais ni mwenyekiti) ili lijadiliwe na kuridhiwa kabla ya kutekelezwa na wizara husika...
Hapo anajikosha, yaani huyu mzee ni waajabu snYaani hii Ngoma aliipitisha mwenyewe kwenye cabinet alafu hapa kaja kuwaruka Mita Mia baada ya kuona Wananchi wote wako kwa Lissu na anaenda kupoteza hadi wale wajinga wake aliobaki nao ππππππππ
Lissu ajiandae tu tumpe magogoni na Chamwino. Tuna Tatizo kubwa sana kwenye Cheo kikuu cha Taifa na watanzania ndo waone sasaπππ
Hapo watu wanachezewa akili tu, huo ni mpango wa kutengeneza matukio tuInaamana kwenye jambo kubwa kama hili ambalo linagusa maslahi ya nchi namna hiii kwamba rais alikuwa hajui kweli au ndio ile ile ya kutengeneza matukio halafu unayatatua mwenyewe?
Very bad leadership kama itakuwa ilipitishwa kwenye cabinet. Maanab atakua amewa undercut watendaji wake tena anasema kabisa eti ni uamuzi wa kipumbavu. Yaani ingekuw mimi ndio dkt.semakafu ningeshaandika barua ya kujiudhuru nikafanye kazi nyingine.Yaani hii Ngoma aliipitisha mwenyewe kwenye cabinet alafu hapa kaja kuwaruka Mita Mia baada ya kuona Wananchi wote wako kwa Lissu na anaenda kupoteza hadi wale wajinga wake aliobaki nao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lissu ajiandae tu tumpe magogoni na Chamwino. Tuna Tatizo kubwa sana kwenye Cheo kikuu cha Taifa na watanzania ndo waone sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mzee ni chengaaaa!! Watu tukisema tunaonekana tunamwonea πππHapo anajikosha, yaani huyu mzee ni waajabu sn
Wazee chutameni!! Tulieni tu mnazid kuharibu kwa huu utetezi wenu mfu!!! Watu tumeshajua mzee ni chengaaaa!!!Usiwe mjinga. Naibu Katibu mkuu anatoa tangazo kama nani? Anayetoa tangazo lolote ni katibu mkuu au mtu mwingine kwa niaba ya katibu mkuu wa wizara husika. Fake news
Haha angalia huyu mjingaKiki ya kibaraka Lisu imebuma
Atamfukuza huyu mama wa watu bure, jambo hili lilipitia baraza la mawaziri ambapo yeye ni MwenyekitiHuyu mzee ni chengaaaa!! Watu tukisema tunaonekana tunamwonea πππ
Wewe unasitishaje jambo lililotolewa na Katibu mkuu wako tena kwa simu??? Inaonesha kabisa huna Organizations Nzuri kwenye ufanyaji kazi wako!! Inaonesha hata nchi unaendesha kwa utashi wako wala sio kwa utaratibu wa kiserikali ambao ni sheria, kanuni, taratibu na vikao
Rais Magufuli amewataka walimu na watanzania kwa ujumla kupuuza taarifa zinazodai kwamba serikali imefuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti kwa shule za msingi na awali, na kwamba mafunzo hayo sasa yataanzia ngazi ya Diploma...
We utasikia fix atakazokuja nazo!! Atakwambia hata kwenye cabinet hakikuja hiki!! Alafu mburulaz wa uvccm kesho wataandaa maandamano kumpongeza kwa uzalendo!Atamfukuza huyu mama wa watu bure, jambo hili lilipitia baraza la mawaziri ambapo yeye ni Mwenyekiti
Mhhh kwa hiyo KM alikuwa hajui Mpango huu Hadi mafunzo ya Wawezeshaaji yamefanyika?Usiwe mjinga. Naibu Katibu mkuu anatoa tangazo kama nani? Anayetoa tangazo lolote ni katibu mkuu au mtu mwingine kwa niaba ya katibu mkuu wa wizara husika. Fake news
Lissu atatangazwa na tume ipi?We utasikia fix atakazokuja nazo!! Atakwambia hata kwenye cabinet hakikuja hiki!! Alafu mburulaz wa uvccm kesho wataandaa maandamano kumpongeza kwa uzalendo!!!!πππ
Ila CCM walitudharau sana 2015!!! Sio utumbo huu waliouweka ππππ Ndo mana mwaka huu inyeshe mvua liwake jua Tundu Antiphas Lissu lazima awe raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa 2020-2025