Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Sasa nadhani mmeona utendaji wa kazi wa huyo mnayeimba "MITANO TENA"?Hivi hadi katibu mkuu wizara anatoa tamko inamaana alijitolea tuu au lilikuwa kwenye mpango linafahamika na waziri wake pamoja na baraka la baraza la kawazidi? Na kama alijitolea mwenyewe tu je kuna mangapi maamuzi yamefanyika kwa utashi tu wa mtu?
Kuwaambia watu wapuuze nadhani ni kosa kubwa lakiufundi kwenye utendaji mzima hakuna credit yoyote unayopata zaidi yakupoteza point
Jamaa ameaibisha mno serikali hadi kuonekana ina mipango shagala bagala, kifupi hafai kabisa katika hiyo ofisi tena. Tutakuwa wehu kurudia tena makosa ya 2015