Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

Hivi hadi katibu mkuu wizara anatoa tamko inamaana alijitolea tuu au lilikuwa kwenye mpango linafahamika na waziri wake pamoja na baraka la baraza la kawazidi? Na kama alijitolea mwenyewe tu je kuna mangapi maamuzi yamefanyika kwa utashi tu wa mtu?

Kuwaambia watu wapuuze nadhani ni kosa kubwa lakiufundi kwenye utendaji mzima hakuna credit yoyote unayopata zaidi yakupoteza point
Sasa nadhani mmeona utendaji wa kazi wa huyo mnayeimba "MITANO TENA"?
Jamaa ameaibisha mno serikali hadi kuonekana ina mipango shagala bagala, kifupi hafai kabisa katika hiyo ofisi tena. Tutakuwa wehu kurudia tena makosa ya 2015
 
Inaamana kwenye jambo kubwa kama hili ambalo linagusa maslahi ya nchi namna hiii kwamba rais alikuwa hajui kweli au ndio ile ile ya kutengeneza matukio halafu unayatatua mwenyewe?
 
Hata mie nashangaa. Maana katika hali ya kawaida kwenye serikali yoyote najua uamuzi wowote wa kubadili sera huletwa kwenye baraza la mawaziri (ambapo rais ni mwenyekiti) ili lijadiliwe na kuridhiwa kabla ya kutekelezwa na wizara husika...
Yaani hii Ngoma aliipitisha mwenyewe kwenye cabinet alafu hapa kaja kuwaruka Mita Mia baada ya kuona Wananchi wote wako kwa Lissu na anaenda kupoteza hadi wale wajinga wake aliobaki nao 😂😂😂😂😂😂😂😂

Lissu ajiandae tu tumpe magogoni na Chamwino. Tuna Tatizo kubwa sana kwenye Cheo kikuu cha Taifa na watanzania ndo waone sasa😂😂😂
 
Hapo anajikosha, yaani huyu mzee ni waajabu sn
 
Inaamana kwenye jambo kubwa kama hili ambalo linagusa maslahi ya nchi namna hiii kwamba rais alikuwa hajui kweli au ndio ile ile ya kutengeneza matukio halafu unayatatua mwenyewe?
Hapo watu wanachezewa akili tu, huo ni mpango wa kutengeneza matukio tu
 
Yaani hii Ngoma aliipitisha mwenyewe kwenye cabinet alafu hapa kaja kuwaruka Mita Mia baada ya kuona Wananchi wote wako kwa Lissu na anaenda kupoteza hadi wale wajinga wake aliobaki nao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lissu ajiandae tu tumpe magogoni na Chamwino. Tuna Tatizo kubwa sana kwenye Cheo kikuu cha Taifa na watanzania ndo waone sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Very bad leadership kama itakuwa ilipitishwa kwenye cabinet. Maanab atakua amewa undercut watendaji wake tena anasema kabisa eti ni uamuzi wa kipumbavu. Yaani ingekuw mimi ndio dkt.semakafu ningeshaandika barua ya kujiudhuru nikafanye kazi nyingine.
 
Hapo anajikosha, yaani huyu mzee ni waajabu sn
Huyu mzee ni chengaaaa!! Watu tukisema tunaonekana tunamwonea 😂😂😂

Wewe unasitishaje jambo lililotolewa na Katibu mkuu wako tena kwa simu??? Inaonesha kabisa huna Organizations Nzuri kwenye ufanyaji kazi wako!! Inaonesha hata nchi unaendesha kwa utashi wako wala sio kwa utaratibu wa kiserikali ambao ni sheria, kanuni, taratibu na vikao
 
Kwahiyo hapo amewasaidia walimu ?
Huu ni upumbavu sana. Wapo watakaoandamana kumpongeza kwa huruma
 
Usiwe mjinga. Naibu Katibu mkuu anatoa tangazo kama nani? Anayetoa tangazo lolote ni katibu mkuu au mtu mwingine kwa niaba ya katibu mkuu wa wizara husika. Fake news
Wazee chutameni!! Tulieni tu mnazid kuharibu kwa huu utetezi wenu mfu!!! Watu tumeshajua mzee ni chengaaaa!!!

Mnachofanya hapa ni kuzima moto wa petroli kwa dizelli 😂😂😂😂
 
Huyu mzee ni chengaaaa!! Watu tukisema tunaonekana tunamwonea 😂😂😂

Wewe unasitishaje jambo lililotolewa na Katibu mkuu wako tena kwa simu??? Inaonesha kabisa huna Organizations Nzuri kwenye ufanyaji kazi wako!! Inaonesha hata nchi unaendesha kwa utashi wako wala sio kwa utaratibu wa kiserikali ambao ni sheria, kanuni, taratibu na vikao
Atamfukuza huyu mama wa watu bure, jambo hili lilipitia baraza la mawaziri ambapo yeye ni Mwenyekiti
 
Hilo sio la msingi. Walimu wanahitaji nyongeza ya mishahara, kupandishwa vyeo na kulipwa stahiki nyinginezo kama posho za likizo, malimbikizo ya mshahara na fedha za matibabu.
Rais Magufuli amewataka walimu na watanzania kwa ujumla kupuuza taarifa zinazodai kwamba serikali imefuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti kwa shule za msingi na awali, na kwamba mafunzo hayo sasa yataanzia ngazi ya Diploma...
 
Atamfukuza huyu mama wa watu bure, jambo hili lilipitia baraza la mawaziri ambapo yeye ni Mwenyekiti
We utasikia fix atakazokuja nazo!! Atakwambia hata kwenye cabinet hakikuja hiki!! Alafu mburulaz wa uvccm kesho wataandaa maandamano kumpongeza kwa uzalendo!

Ila CCM walitudharau sana 2015!!! Sio utumbo huu waliouweka 😂😂😂😂 Ndo mana mwaka huu inyeshe mvua liwake jua Tundu Antiphas Lissu lazima awe raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa 2020-2025
 
Usiwe mjinga. Naibu Katibu mkuu anatoa tangazo kama nani? Anayetoa tangazo lolote ni katibu mkuu au mtu mwingine kwa niaba ya katibu mkuu wa wizara husika. Fake news
Mhhh kwa hiyo KM alikuwa hajui Mpango huu Hadi mafunzo ya Wawezeshaaji yamefanyika?
Hebu fafanua!
 
We utasikia fix atakazokuja nazo!! Atakwambia hata kwenye cabinet hakikuja hiki!! Alafu mburulaz wa uvccm kesho wataandaa maandamano kumpongeza kwa uzalendo!!!!😂😂😂

Ila CCM walitudharau sana 2015!!! Sio utumbo huu waliouweka 😂😂😂😂 Ndo mana mwaka huu inyeshe mvua liwake jua Tundu Antiphas Lissu lazima awe raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa 2020-2025
Lissu atatangazwa na tume ipi?
 
Back
Top Bottom