Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

Hivi hii nchi inaendeshwa kwa misingi, wataalamu na taratibu au ni bora liende?
 
Sasa nadhani mmeona utendaji wa kazi wa huyo mnayeimba "MITANO TENA"?
Jamaa ameaibisha mno serikali hadi kuonekana ina mipango shagala bagala, kifupi hafai kabisa katika hiyo ofisi tena. Tutakuwa wehu kurudia tena makosa ya 2015
Nakwambia mzee wa hovyo huyu, eti anasema tangazo limetoka kwa wabaya wake! Ina maana wizara ya elimu ni wabaya wa Magu? Wonders shall never end in this country!!
 
Magufuli anataka kusemaje - kwamba ile barua ni fake au ni barua halali ila aliyeandika ni mpumbavu tu na hivyo basi yeye ametengua kama vile alivyotengua agizo la Waziri Mwakyembe enzi zile anasema hakuna kufunga ndoa kama mtu huna birth certificate?
 
Rais Magufuli amewataka walimu na watanzania kwa ujumla kupuuza taarifa zinazodai kwamba serikali imefuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti kwa shule za msingi na awali, na kwamba mafunzo hayo sasa yataanzia ngazi ya Diploma.

Rais Magufuli ameliita tangazo hilo kuwa ni la kipumbavu.

Source: Swahili Times

Maendeleo hayana vyama!
watukanane wenyewe kwa wenyewe ukoo wapanya wazee wakukurupuka,ndo maana tunawaambia hii serikali ni ya mtu mmoja halafu kuna mijitu hayaelewi hata wa twangwe kwenye kinu, sisi tunasubiri tu oct28 inamhusu Lisu
 
Katibu mkuu si naibu katibu mkuu. Ingalikuwa kwa niaba ya (KNY) au for; then tunaiamnini siyo kuweka naibu katibu mkuu. Inatakiwa kny katibu mkuu
Umeiona clip ya Katibu mkuu anavyoongea na wakuu wa vyuo vya mafunzo ya ualimu? Tuache siasa za kipumbavu, in short mzee baba ni hopeless!!
 
Umeiona clip ya Katibu mkuu anavyoongea na wakuu wa vyuo vya mafunzo ya ualimu? Tuache siasa za kipumbavu, in short mzee baba ni hopeless!!
Tupo Uchumi Wa Kati 😁😂😅😄😄😃🤣😂😁😁😀
 
Wee mjinga nini! Yani katoa hadi video ya hilo tangazo lakini bado huelewi! Hii nchi ina mazuzu balaa.
Yaani hii ni shida kubwa ya Taifa. Sijui nchi hii ni kubwa mnooooo.... kwamba inabeba na mazwazwa ndiyo maana watu hatuelewani. Watu hata kosa lililo wazi kabisa hawaoni. Macho yamepofushwa na mapenzi ya kisiasa.
 
Kuna watu hapa Tanzania wametokea tu kuichukia CCM na Viongozi wake. Mimi ni mmoja wao. Yaani CCM hata inifanyie nini, mwisho wa siku siipendi tu.

Natamani na Wapinzani nao washike Dola ili wananchi tuweze nao kuwapima. Haiwezekani tangu 1977, tunaisikia CCM tu! Inachosha.
Kapinge kura ya kimbunga.
 
Kampeni katika ubora wake, utafutaji wa kiki unaua halafu unatibu
 
Kama kawaida kuchezesha shoo apate kura za wapumbavu, anajua kucheza na akili za watanzania maana wengi ni vilaza. Leo hii watu wamesahau hata mishahara hawakuongezwa miaka yote mitano na ni kitu aliahidi, ameingia tu ikulu akasema hakuna kuongeza mtu mshahara. Na leo bado wapo wanaompigia kura unasikia chaguo la mungu, sheeeeenzi.

Watanzania upumbavu ukiwatoka kichwani labda maendeleo mtayaona, genge la chama cha majambazi kimewabrainwash vilaza wamejaa
 
Ngoja nikufundishe uendeshwaji wa ofisi ya serikali. Kila shirika au wizara ina afisa masuhuri. Huyo ndiye anaweza kuandika barua au tangazo leo nalohusu ofisi au morning taasisi yake kwenda nje ya taasisi. Afisa masuhuri au accounting officer wa wizara na wala si naibu wake. Pili ukisoma chini ya barua au juu huwa kuna statement imeandikwa; majibu yote kwa... au Mawasiliano yote .....
Acha famba wewe...Mimi sisungumzii Barua pekee...mpaka Wizara inafikia hatua hii ,Kuna mengi Sana yamefanyika...Naibu sio mjinga!?
Hujaona clip Hadi wamefanya mafunzo ya TOT!
Hapo Kuna Upumbavu....Kama alivyosrma Rais ,Ila wenye akili tumejua ...Nani Ni Mpumbavu!😂
 
Zee halina busara hili na lidhalilishaji la wanawake kwa uwazi kabisa! Hivi alishindwa nini kumpigia huyo mama akapata ufafanuzi ya kile kinachoendelea? Nimemsikia hata Katibu mkuu wa wizara ya Elimu James Mdoe naye anasema hivyo hivyo kama alivyosema Dr. Ave Maria! Amewadhalilisha kwa kutaka sifa za kijinga! Tumpige chini tarehe 28/10/2020
Hapo ndiyo mjue huyu mtu sio anaipeleka nchi shimoni
 
Hongera Rais kwa kuwajali walimu. Hakika wewe ni mtetezi wa wanyonge
aendelee na ule mpango wake wa uchumba na mahari kule Zenj, safari hii waalimu tumeamka hana chake.Oct28 tunamsubiri kwenye box la kura tumnyonge,tena uzuri wengi wetu tunaenda kuusimamia uchaguzi
 
Back
Top Bottom