Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia mzee wa hovyo huyu, eti anasema tangazo limetoka kwa wabaya wake! Ina maana wizara ya elimu ni wabaya wa Magu? Wonders shall never end in this country!!Sasa nadhani mmeona utendaji wa kazi wa huyo mnayeimba "MITANO TENA"?
Jamaa ameaibisha mno serikali hadi kuonekana ina mipango shagala bagala, kifupi hafai kabisa katika hiyo ofisi tena. Tutakuwa wehu kurudia tena makosa ya 2015
watukanane wenyewe kwa wenyewe ukoo wapanya wazee wakukurupuka,ndo maana tunawaambia hii serikali ni ya mtu mmoja halafu kuna mijitu hayaelewi hata wa twangwe kwenye kinu, sisi tunasubiri tu oct28 inamhusu LisuRais Magufuli amewataka walimu na watanzania kwa ujumla kupuuza taarifa zinazodai kwamba serikali imefuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti kwa shule za msingi na awali, na kwamba mafunzo hayo sasa yataanzia ngazi ya Diploma.
Rais Magufuli ameliita tangazo hilo kuwa ni la kipumbavu.
Source: Swahili Times
Maendeleo hayana vyama!
Umeiona clip ya Katibu mkuu anavyoongea na wakuu wa vyuo vya mafunzo ya ualimu? Tuache siasa za kipumbavu, in short mzee baba ni hopeless!!Katibu mkuu si naibu katibu mkuu. Ingalikuwa kwa niaba ya (KNY) au for; then tunaiamnini siyo kuweka naibu katibu mkuu. Inatakiwa kny katibu mkuu
Ukiwa Tu Mfuatiliaji Wa MamboMagufuli hana mawasiliano na taasisi za serikali yake?
Tupo Uchumi Wa Kati 😁😂😅😄😄😃🤣😂😁😁😀Umeiona clip ya Katibu mkuu anavyoongea na wakuu wa vyuo vya mafunzo ya ualimu? Tuache siasa za kipumbavu, in short mzee baba ni hopeless!!
Wake-up Alarm!!!! Imelia Sasa HiviMaskini Naibu Katibu Mkuu. Kama ulikuwa kwenye nyumba ya Serikali, Anza mipango fasta ya kuhama!?
Lazima awe mbuzi WA kafara a.k.a Bangusilo.Maskini Naibu Katibu Mkuu. Kama ulikuwa kwenye nyumba ya Serikali, Anza mipango fasta ya kuhama!?
Yaani hii ni shida kubwa ya Taifa. Sijui nchi hii ni kubwa mnooooo.... kwamba inabeba na mazwazwa ndiyo maana watu hatuelewani. Watu hata kosa lililo wazi kabisa hawaoni. Macho yamepofushwa na mapenzi ya kisiasa.Wee mjinga nini! Yani katoa hadi video ya hilo tangazo lakini bado huelewi! Hii nchi ina mazuzu balaa.
Kapinge kura ya kimbunga.Kuna watu hapa Tanzania wametokea tu kuichukia CCM na Viongozi wake. Mimi ni mmoja wao. Yaani CCM hata inifanyie nini, mwisho wa siku siipendi tu.
Natamani na Wapinzani nao washike Dola ili wananchi tuweze nao kuwapima. Haiwezekani tangu 1977, tunaisikia CCM tu! Inachosha.
Acha famba wewe...Mimi sisungumzii Barua pekee...mpaka Wizara inafikia hatua hii ,Kuna mengi Sana yamefanyika...Naibu sio mjinga!?Ngoja nikufundishe uendeshwaji wa ofisi ya serikali. Kila shirika au wizara ina afisa masuhuri. Huyo ndiye anaweza kuandika barua au tangazo leo nalohusu ofisi au morning taasisi yake kwenda nje ya taasisi. Afisa masuhuri au accounting officer wa wizara na wala si naibu wake. Pili ukisoma chini ya barua au juu huwa kuna statement imeandikwa; majibu yote kwa... au Mawasiliano yote .....
Hapo ndiyo mjue huyu mtu sio anaipeleka nchi shimoniZee halina busara hili na lidhalilishaji la wanawake kwa uwazi kabisa! Hivi alishindwa nini kumpigia huyo mama akapata ufafanuzi ya kile kinachoendelea? Nimemsikia hata Katibu mkuu wa wizara ya Elimu James Mdoe naye anasema hivyo hivyo kama alivyosema Dr. Ave Maria! Amewadhalilisha kwa kutaka sifa za kijinga! Tumpige chini tarehe 28/10/2020
aendelee na ule mpango wake wa uchumba na mahari kule Zenj, safari hii waalimu tumeamka hana chake.Oct28 tunamsubiri kwenye box la kura tumnyonge,tena uzuri wengi wetu tunaenda kuusimamia uchaguziHongera Rais kwa kuwajali walimu. Hakika wewe ni mtetezi wa wanyonge
Kwa hiyo tuseme huyo Dr Semakafu ametumwa na wabaya wa mzee baba?Muulize mama ngwale akusaidie