Kinyume chake Ni sahihiNdiyo maana yake. Ave Maria Semakafu ni mpumbavu. Swali ni kwamba Jiwe alipomteua hakujua kuwa Semakafu ni mpumbavu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinyume chake Ni sahihiNdiyo maana yake. Ave Maria Semakafu ni mpumbavu. Swali ni kwamba Jiwe alipomteua hakujua kuwa Semakafu ni mpumbavu?
Kama kawaida kuchezesha shoo apate kura za wapumbavu, anajua kucheza na akili za watanzania maana wengi ni vilaza. Leo hii watu wamesahau hata mishahara hawakuongezwa miaka yote mitano na ni kitu aliahidi, ameingia tu ikulu akasema hakuna kuongeza mtu mshahara. Na leo bado wapo wanaompigia kura unasikia chaguo la mungu, sheeeeenzi.
Watanzania upumbavu ukiwatoka kichwani labda maendeleo mtayaona, genge la chama cha majambazi kimewabrainwash vilaza wamejaa
Nao sasa watakuwa Wapumbavu kwa kuendelea kuwa na cheti nadhani Jiwe anaogopa mishahara itapanda faster na hivi wapo wengi hana pakuficha Upumbavu huuHapa zinasakwa kura za walimu
Unaongelea Nini mkuu Ndaluvhako si ndiye Wazir wa Elimu,au ,Semakafu Ni Naibu Km,aliyepigs simu Ni Bosi mkuu ...Chama hikihiki!Huelewi wewe! Usisahau Ndalichako alivyoua elimu wewe. Hii kitu ilitakiwa kupelekwa katika baraza la mawaziri wewe!!!!
Na zile video Ni Fake kwa hiyo!😃😀😂Umeona hiiView attachment 1591355
Ampige chini huyu Dr kwa sababu anamchafulia kipindi hiki cha kuzitafuta kura.Hao ni wakurupukaji kama Tundu LISSU
Huyo Ave Maria Semakafu kazaliwa ndani ya CCM baba yake Rip Semakafu alikuwa m/kiti wa Tanu anakijua chama kuliko Jiwe alie dandia na kupora chamaNakwambia mzee wa hovyo huyu, eti anasema tangazo limetoka kwa wabaya wake! Ina maana wizara ya elimu ni wabaya wa Magu? Wonders shall never end in this country!!
Ni muda wa kufanya jambo jipya chini ya jua kwa Tz maana vinginevyo itakuwa balaa. We imajini Ave Maria kaitwa mpumbavu mbele ya wanae na mumewe. Raia tumetukanwa matusi ya kila rangi. Ni muda wa kujibu kwa vitendoNao sasa watakuwa Wapumbavu kwa kuendelea kuwa na cheti nadhani Jiwe anaogopa mishahara itapanda faster na hivi wapo wengi hana pakuficha Upumbavu huu
Malezi aliyo kulia huyu Jiwe siyo kabisa hana ustaarabu hata chembeNi muda wa kufanya jambo jipya chini ya jua kwa Tz maana vinginevyo itakuwa balaa. We imajini Ave Maria kaitwa mpumbavu mbele ya wanae na mumewe. Raia tumetukanwa matusi ya kila rangi. Ni muda wa kujibu kwa vitendo
Politricks ni dhambi maana unachezea mind za watu, unaweza ukaua hata watu kwa pressureSiasa buana,zinachekesha sana yani,😛😀,yani kinatengenezwa kitu,then kinapanguliwa juu kwa juu
Aiseh Elimu yetu IPO mashakani....
Kiki za ajabu sana! Kwani Wizara ya Elimu (iliyofuta ngazi ya cheti) na Rais wako serikali tofauti? Si ni serikali hiyo hiyo moja? Ajabu sana hii! Vinginevyo, kama hiyo habari (ya kufutwa ngazi ya cheti) ni ya uongo itakuwa ilizushwa na "kitengo" kama sehemu ya maandalizi ya kiki ya leo.
Hivi hadi katibu mkuu wizara anatoa tamko inamaana alijitolea tuu au lilikuwa kwenye mpango linafahamika na waziri wake pamoja na baraka la baraza la kawazidi? Na kama alijitolea mwenyewe tu je kuna mangapi maamuzi yamefanyika kwa utashi tu wa mtu?
Kuwaambia watu wapuuze nadhani ni kosa kubwa lakiufundi kwenye utendaji mzima hakuna credit yoyote unayopata zaidi yakupoteza point