Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

Kama kawaida kuchezesha shoo apate kura za wapumbavu, anajua kucheza na akili za watanzania maana wengi ni vilaza. Leo hii watu wamesahau hata mishahara hawakuongezwa miaka yote mitano na ni kitu aliahidi, ameingia tu ikulu akasema hakuna kuongeza mtu mshahara. Na leo bado wapo wanaompigia kura unasikia chaguo la mungu, sheeeeenzi.
Watanzania upumbavu ukiwatoka kichwani labda maendeleo mtayaona, genge la chama cha majambazi kimewabrainwash vilaza wamejaa

Watanzania wengi ni misukule iliyokatwa ulimi na ndio maana tunapelekeshwa jinsi jamaa anavyojisikia !!!
 
Huelewi wewe! Usisahau Ndalichako alivyoua elimu wewe. Hii kitu ilitakiwa kupelekwa katika baraza la mawaziri wewe!!!!
Unaongelea Nini mkuu Ndaluvhako si ndiye Wazir wa Elimu,au ,Semakafu Ni Naibu Km,aliyepigs simu Ni Bosi mkuu ...Chama hikihiki!
Hiyo alimu kaua lini! Wakati ndio Bonge la Waziri wa Jiwe!
Kwa ufupi ....wamejivurugaaaa,Kama na wewe Ni mfuasi wao pole!?
 
Nakwambia mzee wa hovyo huyu, eti anasema tangazo limetoka kwa wabaya wake! Ina maana wizara ya elimu ni wabaya wa Magu? Wonders shall never end in this country!!
Huyo Ave Maria Semakafu kazaliwa ndani ya CCM baba yake Rip Semakafu alikuwa m/kiti wa Tanu anakijua chama kuliko Jiwe alie dandia na kupora chama
 
Nao sasa watakuwa Wapumbavu kwa kuendelea kuwa na cheti nadhani Jiwe anaogopa mishahara itapanda faster na hivi wapo wengi hana pakuficha Upumbavu huu
Ni muda wa kufanya jambo jipya chini ya jua kwa Tz maana vinginevyo itakuwa balaa. We imajini Ave Maria kaitwa mpumbavu mbele ya wanae na mumewe. Raia tumetukanwa matusi ya kila rangi. Ni muda wa kujibu kwa vitendo
 
Siasa buana,zinachekesha sana yani,😛😀,yani kinatengenezwa kitu,then kinapanguliwa juu kwa juu
 
Ni muda wa kufanya jambo jipya chini ya jua kwa Tz maana vinginevyo itakuwa balaa. We imajini Ave Maria kaitwa mpumbavu mbele ya wanae na mumewe. Raia tumetukanwa matusi ya kila rangi. Ni muda wa kujibu kwa vitendo
Malezi aliyo kulia huyu Jiwe siyo kabisa hana ustaarabu hata chembe
 
Wanacheza na fikra za watu, washauri wake wapo vizuri maana ni politrick nzuri ya kuongeza idadi ya kura
 
Siasa buana,zinachekesha sana yani,😛😀,yani kinatengenezwa kitu,then kinapanguliwa juu kwa juu
Politricks ni dhambi maana unachezea mind za watu, unaweza ukaua hata watu kwa pressure
 
Nadhani mheshimiwa hajaelewa kilicho kusudiwa. Yeye ameelewa kuwa walimu wa cheti wata ondolewa kazini wakati lengo ni kubadilisha mtaala kutoka mafunzo ya ngazi ya cheti kwenda ngazi ya diploma na siyo kuwaondoa kazini waliopo kazini. Walio sgangilia nao hawajaelewa walicho shangilia

Kwakuwa mkewe na wa waziri mkuu ni wa ngazi ya cheti anaona watadhalilika kwakuwa hawataweza kujiendeleza. Huyu bwana anapenda sifa sana. Hao watu wabaya nani kawateua? Kwahiyo kwakuwa yeye aba Phd haina haja ya kuboresha kuwa na maprofesa?
 
Yan tukubali tukatae hii kitu kama ipo ipo tu ngoja tusubirie ishu x ipite then y tutakutana nayo section ya pilo
 
hahah!

Inamana hilo tangazo lilitengenezwa feki ili jama apate wasaa wakupiga simu huko kwneye kongamano, Trick z akitoto sana hizi.
 
Wizara ya elimu siyo ya serikali yake ni ya CHADEMA inatumika na mabeberu
Kiki za ajabu sana! Kwani Wizara ya Elimu (iliyofuta ngazi ya cheti) na Rais wako serikali tofauti? Si ni serikali hiyo hiyo moja? Ajabu sana hii! Vinginevyo, kama hiyo habari (ya kufutwa ngazi ya cheti) ni ya uongo itakuwa ilizushwa na "kitengo" kama sehemu ya maandalizi ya kiki ya leo.
 
Hivi hadi katibu mkuu wizara anatoa tamko inamaana alijitolea tuu au lilikuwa kwenye mpango linafahamika na waziri wake pamoja na baraka la baraza la kawazidi? Na kama alijitolea mwenyewe tu je kuna mangapi maamuzi yamefanyika kwa utashi tu wa mtu?

Kuwaambia watu wapuuze nadhani ni kosa kubwa lakiufundi kwenye utendaji mzima hakuna credit yoyote unayopata zaidi yakupoteza point


MKuu hiyo ni kiki ili kupata wassaa w akuongea na walimu tu na kupata huruma z awalimu, namini walimu hawajasahahu kuhusu nyongeza za mishahara na mabalaa mengine ya wamu hii ya tano.
 
Back
Top Bottom