ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,118
- 1,430
Dah we kiboko,Kesho anatumbuliwa!!
Tayari kishanuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah we kiboko,Kesho anatumbuliwa!!
Ndani ya ilani ya CCM imeandikwa, je Magufuli hajaiona na bado anainadi kwa nguvu zake zote!Taasisi ziko huru, zinapofanya vizuri always no changamoto but wanapoleta taharuki shida inakuwa kubwa ndo hapo anapoweza hitaji kupata briefing kutoka kwa Waziri au KM. Siyo kila kitu Lazmi ajue. Kinapoleta taharuki as now baba ndo anaibuka kuonyesha uwepo wake
Mpumbavu keshatumbuliwa. Huyu na familia yake hawapigi Kura.duh, sometimes viongozi wetu muwe na busara.....sio sawa kusema ni tamko la KIPUMBAVU....bad, mbaya mno....na waliokaa na kuamua hayo, walishindwa kutambua ni kipindi cha kampeni.....naipenda TANZANIA....
Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti.
Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo na kusema kuwa tangazo hilo ni la kipumbavu na kwamba ataendelea kuwa pamoja na walimu wote.
PIA SOMA: Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta rasmi mafunzo ya Ualimu wa shule ya msingi na awali ngazi ya Cheti Tanzania
Mpumbavu keshatumbuliwa. Huyu na familia yake hawapigi Kura.
Hivi hadi katibu mkuu wizara anatoa tamko inamaana alijitolea tuu au lilikuwa kwenye mpango linafahamika na waziri wake pamoja na baraka la baraza la kawazidi? Na kama alijitolea mwenyewe tu je kuna mangapi maamuzi yamefanyika kwa utashi tu wa mtu?
Kuwaambia watu wapuuze nadhani ni kosa kubwa lakiufundi kwenye utendaji mzima hakuna credit yoyote unayopata zaidi yakupoteza point
Ila aliyetoa tangazo hilo ni Dkt. Avemaria ambaye ni Naibu katibu mkuu wa wizara ya Elimu.
Ina maana Dkt AveMaria hakuandika hilo tangazo? Haya kwani uteuzi utenguliwe?Haya matangazo fake ya kutunga yapo mengi sana msikuze mambo.
hahahahahaaaa...hatari hii.....ila yeye ni chambo...wavuvi wametulia kwenye runinga wanamcheka.Mpumbavu keshatumbuliwa. Huyu na familia yake hawapigi Kura.
Sasa wale walimu 350 na wakuu wa vyuo 18 walipewa mafunzo ya nini? na walilipwa posho na nani? jamani Daktari Ave ametolewa kafara tu! huo ndio ukweli, na hapa kura za walimu hao wenye cheti ndio zinatafutwa. Ajira za kura za walimu shule ya msingi utapambanishaje mwenye degree na cheti katika shule ya msingi!Rais Magufuli amewataka walimu na watanzania kwa ujumla kupuuza taarifa zinazodai kwamba serikali imefuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti kwa shule za msingi na awali, na kwamba mafunzo hayo sasa yataanzia ngazi ya Diploma...
Mimi mwenzio kura yangu ni kwa JPMHuyu hapati kura yangu, ni miaka mitano sasa ninasubili mshahara Mpya, hata ile annual increment imekuwa shida. Kura yangu ni kwa Lissu tu.