Dodoma: Spika Ndugai awapa mbinu CHADEMA ili awafukuze akina Halima Mdee

Kwani wao NEC wanasemaje?
Au niendelee kuamini wale Civid 19 wamepata wakili nguli, mkuu wa mhimili?
 
Kwa sasa chadema wamefirisika, badala ya kuja na mtazamo mpana kupigania mazingira huru na haki ya chaguzi wanakimbizana na akina mama 19, hii ni aibu kwa chama kikubwa kama chadema...
 
Anataka kuuaminisha umma kuwa adui namba moja wa nchi hii ni CDM...

Anaamini kuwa yeye ndiye mwenye akili kuliko watanzania wote asee!
 


Hiyo sio kazi ya spika kujua wajumbe waliohudhuria kikao cha Chama kuwafukuza wanachama wao, hiyo ni kazi ya mahakama.
 
Chadema achaneni na HAO wabunge.waendelee maisha Yao na nyie Mfanye yenu.
 
Anainyea katiba hatoshi kusema anaikojolea
 
yes nimepitia comments zako mbalimbali kwenye majukwaa ya siasa nimeona umbumbumbu wako haswaa.
Huwa na comment reality wakati siasa siyo real. I know the inside of both parties. Even the current covid-19 issue. Kwahiyo msikaze sana mishipa kutetea sanaa
 
Ndugai anajitoa fahamu sana hivi kipindi kile wakati wanamkatili Tundu Lisu kwa kumvua ubunge na mambo mengine kibao walimwita ajitetee?
Akili za mataga hazijawahi kua na akili!
 
Kwa uandishi na taaluma chadema bado sana
Ni watu wa mzaha mzaha
Pia barua inaamrisha Mamlaka nyingine wakati barua inahitaji ushirikiano kuliko amri
Hapo ndo mnapogeli chadema mjifunze kuandika
 
Kumbe ufupi wake haujaishia kwenye kiwiliwili tu; hadi kwenye utashi!

Hivi anaweza kuelezea umakini aliouzingatia kujiridhisha juu ya uhalili wa utaratibu uliofuatwa hata akamuapisha Mdee aliyegombea jimboni kuwa mbunge wa viti maalum?

Anaweza kuleta uthibitisho kuonesha majina na idadi ya wajumbe waliohudhuria na tarehehe ya kikao cha CHADEMA kilichopendekeza majina19 ya hao aliowaapisha kuwa wabunge wa viti maalum?
 
Ninavyojua chadema wamewatimua hawa wabunge kwa kuwa hawakuchaguliwa kama sheria ya uchaguzi inavyotaka kwa kuwa kila chama huwa kinawasilisha list ya majina ya wabunge wa viti maalum kwa tume kabla ya uchaguzi wa majimbu. So uchaguzi ukiisha wanaangalia idadi ya kura za uraisi ndio wanawaambia kila chama kina wabunge wangapi wanaqualified kuingia bungeni.Tume ya uchaguzi inachagua kutoka kwenye hiyo list.Mfano wameambiwa ni wabunge 10 ,ina maana tume ya uchaguzi itachangua numba 1 mpaka 10 kwenye list iliyowasilishwa kwao.Pili Chadema hawakukubaliana na mwenendo wa uchaguzi wa urais na wabuge so waligomea bunge .Serikali waliamua kuchagua wabunge ambao walikubaliana na spika na sio waliokuwa kwenye list.Na hii ni ili wapate hela za UN kwa hali iliyokuwepo ya majimbo ambako vyama wahakupata wabunge inamaana Tanzania wasinge qualify kupatafedha kwa ajili ya kuendesha bunge .
 
Hii ni dalili ya ile safari inayoogopwa na watu wote - safari ambayo ni futi 6 chini udongoni.

Yule mshikaji wake siku chache kabla hajarudisha namba naye alikuwa akiweweseka hivi hivi!
Mnafikia kutishia maisha wazi wazi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…