Mbona unacheka cheka tu?Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Alipotea Kashogi Ubalozini, unakumbuka? Dunia hadaa ulimwengu shujaaHii kesi ina moto!! Robert katishia kuwaomba UN waje kupeleleza pamoja na mambo mengine ya waliopotea na wengine kutekwa.
Kinachosubiriwa ni trigger tu ili mambo yaanze rasmi.
Hii si habari nzuri!!
Weye huwa unakua lijingalijinga sana.Propagations won't bring you to an end, fantasiaz!Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Serikali haiwezi poteza rasilimali adimu kurushiana maneno na Tundu.Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Unaambiwa Murotto alitaka kutokea dirishani lakini imeshindikana .
Kalifuata au kaenda kuliangalia?!
Wanamkomesha kweli..,[emoji2][emoji2] uso wa mbuzi tu mpaka mwisho.na mzee baba akiapishwa tu,hakuna shughuli za kisiasa tena mpaka miaka mitano.ukikaidi tu.."ndani".muda wake huu acha ahangaikeHakuna kitu kina umiza kama unapofanya kitu watu wakufanyie kitu ili upate pakusemea then unakuta watu wamechuna.
1. Mapokezi Dar....... Police wala hawakumsumbua
2. Korona Tanzania..... Wala hakuna alie mjibu.
3. Kaanza kampeni mapema....... Watu kimyaaaaa
4. Kwenda police......... RPC angemkaribisha kabisa supu na chapati.
This time kiki zote zitakwama.....
Aende na Dereva wake. Asiseme tu ushahidi atakaoutoa yeye unatosha.Bora Lissu ameenda polisi, hapo karudisha mpira kwa polisi na atatoa maelezo kwa muda sahihi kwake, polisi wasiendelee kusema Lissu anawakwepa kutoa maelezo, na baada ya hayo maelezo ya Lissu polisi itabidi waueleze umma wa watanzania uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu umefikia wapi.
Nenda kamtumikie jobless wenzako BashiteAti anashangaaa!!!.. kibaraka akumbuke ana kesi.. huyu ni hatari sana.. hata mwili wake.. hakukumbuka ya gari.. hadi kamaliza kukamilisha ubaraka wake aliotumwa na mabeberu.. hafai kuwa kiongozi wa nchi hii hata kwa sekunde moja.. tukisema ilikuwa mipango yao wenyewe.. bado munapiga kelele. Ati nini!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Magufuli 2020 [emoji817]
Lissu ni mwananchi tuu wa kawaida hawezi pata attention ya mambo ya ajabuajabu toka kwa serikaliHakuna kitu kina umiza kama unapofanya kitu watu wakufanyie kitu ili upate pakusemea then unakuta watu wamechuna.
1. Mapokezi Dar....... Police wala hawakumsumbua
2. Korona Tanzania..... Wala hakuna alie mjibu.
3. Kaanza kampeni mapema....... Watu kimyaaaaa
4. Kwenda police......... RPC angemkaribisha kabisa supu na chapati.
This time kiki zote zitakwama.....
Hakuenda kuhojiwa alienda kulifuata gari lake.thetallest, Sasa hapo kuna kiki gan mkuu? Yeye kaenda polisi ili wamuhoji ambapo polisi walisema hatoi ushirikiano yeye kaleta ushirikiano wewe unasema anataka kiki
Ulipaswa kumpongeza mkuu kwa ushirikiano wake wa polisi maana wale polisi iliyowaita wasiojulikana sasa inabidi wajulikane maana ushirikiano kwa pande zote mbili sasa unapatikana
Wamkamate kwa kosa lipi sasa? Siku hizi kiki hazitoki kizembe zembe tu.Nashangaa hawajamkamata!! Mbona wanakuwa wema sana kwa Lissu tangu arudi.
Ulitaka wampe Kiki bi mdashi wako?Hakuna kitu kina umiza kama unapofanya kitu watu wakufanyie kitu ili upate pakusemea then unakuta watu wamechuna.
1. Mapokezi Dar....... Police wala hawakumsumbua
2. Korona Tanzania..... Wala hakuna alie mjibu.
3. Kaanza kampeni mapema....... Watu kimyaaaaa
4. Kwenda police......... RPC angemkaribisha kabisa supu na chapati.
This time kiki zote zitakwama.....
nimecheka mpaka nimepaliwa na chaiHahahahah [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kweli
Huwa wanamsimanga akiwa mbali
Ila akiwa karibu wote wanakuwa washikaji
Kampeni zinaanza kesho mama weweHana gari Chadema wamechukua magari Yao Polisi mpeni tu apeleke gereji Hana gari ya kampeni
Wenzie wameanza kampeni yeye gari Hana
Kinachofuata atajipiga kisu huyu ili kuamsha hisia tu,maana kila anapogusa watu wamemchuniaNani amkamate sasa😂😂, serikali makini hii haiwezi kufanya matumizi mabaya ya rasilimali zake haswa kipindi hiki muhimu
Tundu hana madhara kwa serikali na ndio maana naendelea kusema kweli alifanyiwa ukatili na waliompigia risasi ila asilazimishe kuwaaminisha watu ati alipigwa risasi na rais John Pombe Magufuli au serikali yake.
A report kwenye vyombo vya usalama na kutoa ushirikiano kwa shauri hilo ili uchunguzi ukamilike na haki itendeke