Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Mbona unacheka cheka tu?Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana