Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Mbona unacheka cheka tu?
 
Hii kesi ina moto!! Robert katishia kuwaomba UN waje kupeleleza pamoja na mambo mengine ya waliopotea na wengine kutekwa.

Kinachosubiriwa ni trigger tu ili mambo yaanze rasmi.

Hii si habari nzuri!!
Alipotea Kashogi Ubalozini, unakumbuka? Dunia hadaa ulimwengu shujaa
 
Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Weye huwa unakua lijingalijinga sana.Propagations won't bring you to an end, fantasiaz!
 
Hana gari Chadema wamechukua magari Yao Polisi mpeni tu apeleke gereji Hana gari ya kampeni

Wenzie wameanza kampeni yeye gari Hana
 
Wagombea Uraisi Wenzie wako kampeni Lisu anahangaika na gari bovu kupeleleka gereji
 
Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Serikali haiwezi poteza rasilimali adimu kurushiana maneno na Tundu.
Atumie muda wake kushikiana na vyombo husika kuwaona waliotaka kumuua yeye kama mwanasheria anajua taratibu aache propaganda uchwara
 
Hakuna kitu kina umiza kama unapofanya kitu watu wakufanyie kitu ili upate pakusemea then unakuta watu wamechuna.
1. Mapokezi Dar....... Police wala hawakumsumbua
2. Korona Tanzania..... Wala hakuna alie mjibu.
3. Kaanza kampeni mapema....... Watu kimyaaaaa
4. Kwenda police......... RPC angemkaribisha kabisa supu na chapati.

This time kiki zote zitakwama.....
Wanamkomesha kweli..,[emoji2][emoji2] uso wa mbuzi tu mpaka mwisho.na mzee baba akiapishwa tu,hakuna shughuli za kisiasa tena mpaka miaka mitano.ukikaidi tu.."ndani".muda wake huu acha ahangaike
 
Bora Lissu ameenda polisi, hapo karudisha mpira kwa polisi na atatoa maelezo kwa muda sahihi kwake, polisi wasiendelee kusema Lissu anawakwepa kutoa maelezo, na baada ya hayo maelezo ya Lissu polisi itabidi waueleze umma wa watanzania uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu umefikia wapi.
Aende na Dereva wake. Asiseme tu ushahidi atakaoutoa yeye unatosha.
 
Ati anashangaaa!!!.. kibaraka akumbuke ana kesi.. huyu ni hatari sana.. hata mwili wake.. hakukumbuka ya gari.. hadi kamaliza kukamilisha ubaraka wake aliotumwa na mabeberu.. hafai kuwa kiongozi wa nchi hii hata kwa sekunde moja.. tukisema ilikuwa mipango yao wenyewe.. bado munapiga kelele. Ati nini!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Magufuli 2020 [emoji817]
Nenda kamtumikie jobless wenzako Bashite
 
Hakuna kitu kina umiza kama unapofanya kitu watu wakufanyie kitu ili upate pakusemea then unakuta watu wamechuna.
1. Mapokezi Dar....... Police wala hawakumsumbua
2. Korona Tanzania..... Wala hakuna alie mjibu.
3. Kaanza kampeni mapema....... Watu kimyaaaaa
4. Kwenda police......... RPC angemkaribisha kabisa supu na chapati.

This time kiki zote zitakwama.....
Lissu ni mwananchi tuu wa kawaida hawezi pata attention ya mambo ya ajabuajabu toka kwa serikali
 
thetallest, Sasa hapo kuna kiki gan mkuu? Yeye kaenda polisi ili wamuhoji ambapo polisi walisema hatoi ushirikiano yeye kaleta ushirikiano wewe unasema anataka kiki

Ulipaswa kumpongeza mkuu kwa ushirikiano wake wa polisi maana wale polisi iliyowaita wasiojulikana sasa inabidi wajulikane maana ushirikiano kwa pande zote mbili sasa unapatikana
Hakuenda kuhojiwa alienda kulifuata gari lake.
 
Hakuna kitu kina umiza kama unapofanya kitu watu wakufanyie kitu ili upate pakusemea then unakuta watu wamechuna.
1. Mapokezi Dar....... Police wala hawakumsumbua
2. Korona Tanzania..... Wala hakuna alie mjibu.
3. Kaanza kampeni mapema....... Watu kimyaaaaa
4. Kwenda police......... RPC angemkaribisha kabisa supu na chapati.

This time kiki zote zitakwama.....
Ulitaka wampe Kiki bi mdashi wako?
 
LIssu hata kupona kwake ni Mwenyezi Mungu ana makusudi flani. Tumpe kura za ndio Lissu ili 'unabii' utimie.
 
Nani amkamate sasa😂😂, serikali makini hii haiwezi kufanya matumizi mabaya ya rasilimali zake haswa kipindi hiki muhimu
Tundu hana madhara kwa serikali na ndio maana naendelea kusema kweli alifanyiwa ukatili na waliompigia risasi ila asilazimishe kuwaaminisha watu ati alipigwa risasi na rais John Pombe Magufuli au serikali yake.
A report kwenye vyombo vya usalama na kutoa ushirikiano kwa shauri hilo ili uchunguzi ukamilike na haki itendeke
Kinachofuata atajipiga kisu huyu ili kuamsha hisia tu,maana kila anapogusa watu wamemchunia
 
Back
Top Bottom