Wasipoteze muda kumtafuta TUNDU ANDIPAS LUSU LAITI WANGEJUA NYUMA YAKE WAPO MAMILION YA WATU WANAMPENDA WASINGEHANGAIKA.Way maker
Miracle worker
Promise keeper
Light in the darkness
That's who you are.
Mighty God....
Imeandikwa watapigana lakini hawatashida yer 1:19
Get well soon Hon Lissu.
kitengo cha propagandaCCM mmeonuesha utu sana, siasa sio uadui. Vyombo vya ulinzi vifanye kazi yao
Mbona kama umepaniki mkuu? Nimesema WazalendoSifanyi huu upuuzi!
Walifariki watoto hamkuja na mawazo kama haya!!
Haha august 2017 mkuu ilikuwa kwenye computer long time agoCCM mmeonuesha utu sana, siasa sio uadui. Vyombo vya ulinzi vifanye kazi yao
Lete pichaNi kweli mama naona wabunge kwa wingi hapa general Hosp.in taharuki kwa kwel
Mkuu chunga kauli zako. Ukiombwa ushahidi juu ya hili uliloliandika unaweza kuutoa. Tuvipe nafasi vyombo vya ulinzi kufanya kazi zao.Wanafiki wakubwa..hilo tukio limesukwa hapo Lumumba
Kwani walirushiwa risasi?Wale wa Cuf vipi??
Jana tu bavicha walikuwa wanashangilia vifo vya viongozi wa CUF.sawa utaishi milele ......
Hakuna mtanzania mwenye roho ya hivi
Hapa naona point. Umenikumbusha the chaos theory...kwamba Habari zinahamia kwa tukio la Tundu Lissu na kuacha kuangazia issue ya Tanzanite. Makes sense.Najaribu kufikiria, hivi Tundu Lissu alitaka kutolewa roho na serikali? Au watu wasioipenda serikali wameamua kumharibia Mhe. Rais hasahasa siku ya leo wakati anapewa report ya uchunguzi wa Almasi na Tanzanite?
Nafikiria kama ni kazi ya serikali, basi aliyetumwa ni bwege na hajui timing; maana ingawa tukio la jaribio la kuuwawa Tundu Lissu limetokea baada ya kupokea kwa report, thread ya Lissu kutaka kuuwawa imeshakuwa kubwa mara mbili zaidi ya hii ya Mhe. Rais.
Lakini kama waliopanga jambo hili ni wale jamaa wa madini, basi kweli wamebobea kwenye conspiracy.
Uhusika wa serikali hautatiliwa shaka, pale tu mtuhumiwa atakaposhikwa haraka.
Lakini kama serikali imehusika, sidhani kama hii inasaidia zaidi ya kuleta chuki. Kuna watu wasiokuwa sahihi watakuwa kwenye nafasi za uteuzi. Hapo Magufuli itabidi azipitie upya taasisi zake.