DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Way maker
Miracle worker
Promise keeper
Light in the darkness
That's who you are.
Mighty God....

Imeandikwa watapigana lakini hawatashida yer 1:19

Get well soon Hon Lissu.
Wasipoteze muda kumtafuta TUNDU ANDIPAS LUSU LAITI WANGEJUA NYUMA YAKE WAPO MAMILION YA WATU WANAMPENDA WASINGEHANGAIKA.
Wakimzimisha watainuka wengine zaidi na huu ni unabii wa Biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tapatalk_1504798203091.jpeg


Hii picha si ya kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watu waliojaribu kumuua lissu nafsi zitawasuta Hadi umauti wao
 
Jukumu letu nikumuombea Lissu kwasasa,waliomshambulia Mungu anawaona na itawakost maana damu ya mtu haijawahi kumuacha mtesi salama
 
Najaribu kufikiria, hivi Tundu Lissu alitaka kutolewa roho na serikali? Au watu wasioipenda serikali wameamua kumharibia Mhe. Rais hasahasa siku ya leo wakati anapewa report ya uchunguzi wa Almasi na Tanzanite?

Nafikiria kama ni kazi ya serikali, basi aliyetumwa ni bwege na hajui timing; maana ingawa tukio la jaribio la kuuwawa Tundu Lissu limetokea baada ya kupokea kwa report, thread ya Lissu kutaka kuuwawa imeshakuwa kubwa mara mbili zaidi ya hii ya Mhe. Rais.

Lakini kama waliopanga jambo hili ni wale jamaa wa madini, basi kweli wamebobea kwenye conspiracy.

Uhusika wa serikali hautatiliwa shaka, pale tu mtuhumiwa atakaposhikwa haraka.

Lakini kama serikali imehusika, sidhani kama hii inasaidia zaidi ya kuleta chuki. Kuna watu wasiokuwa sahihi watakuwa kwenye nafasi za uteuzi. Hapo Magufuli itabidi azipitie upya taasisi zake.
Hapa naona point. Umenikumbusha the chaos theory...kwamba Habari zinahamia kwa tukio la Tundu Lissu na kuacha kuangazia issue ya Tanzanite. Makes sense.
 
Back
Top Bottom