DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Chadema wampeleke hata na ya binafsi wasitumie huo uchafu ulioleta na mashetani maccm manafiki sana.
Yule aliyetaka uenyekiti miaka ile akapata ajali akitoka dodoma,ccm ilikua na mkono hapo?

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Mbowe na Lowasa wana mkono.


Tunajua Bashite ndio anatembea na kundi la watu wenye bunduki, alishawahi kuteka kituo cha radio, ashawateka na kuwashikilia wasanii wa Bongo Fleva kwa wiki moja. Kwa hiyo kukusudia kuua kama alivyotumwa na Msukuma mwenzake atushangai
 
Tunakuomba Mungu ufanye uponyaji kwa Tundu Lisu kwako Mungu hakuna linaloshindiaka kwa mapenzi yako.
 
Tunakuombea heri katika matibabu yako kamanda Lisu, ili utaporudi dimbani, uje utujuze kwa kina kile kilichokusibu.
 
IMG-20170907-WA0168.jpg
 
Tundu Lissu ana tatizo gani mpaka mtu atake afe? Kupigania haki na kukosoa watawala siku ni dhambi kubwa kiasi hiki? Mungu atusaidie sana.
 
Nafikiri ipo haja ya wapinzani kuachana na siasa wafanye mambo mengine. Tuliambiwa vyama vingi ni hitaji la katiba lakini kumbe kuna huyu mwenzetu hataki kusikia habari ya upinzani. Tuiache CCM ifanye itakavyo. kama upinzani ni uadui wa namna hii, hakuna sababu ya kuwepo vyama vya upinzani. kama ni kuuana kwa namna hii, basi tuachane na siasa za vyama vingi, ibaki CCM tu kama wana CCM na viongozi wao wanavyotaka. JK kashauri juzi tu kwamba upinzani si uadui, lakini hawaelewi kabisa.
 
Lolote laweza kuwa sababu za kushambuliwa Lisu...ingawa kwa akili za harakaharaka za kubeba mambo juu juu tulizajaaliwa Wa TZ tunakimbilia tu kushutumu kundi fulani.

Yeyote mwenye tofauti na Lisu, iwe ya kisiasa, kimaslahi, kifamilia n.k ni rahisi kutumia huo upenyo akiwa na uhakika kabisa wapi sehemu kubwa ya jamii itakapoelekeza shutuma zake.

Watu wenye nyenzo na utaalamu wakitaka kumpoteza mtu sidhani kama watatumia mbinu mbovu kama hiyo ya kumimina marisasi tu hovyo...bila hata uhakika kama wanampata mlengwa wao au la.

Muhimu hapa ni kumuombea tu TL abaki salama, atoke hospitali arudi aendelee kuvuta pumzi hii ya Mwenyezi Mungu kama sisi wengine humu tunaozijaza pages za JF.
 
Back
Top Bottom