Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana wa ibilisi ndiyo kazi wanazotumwa na shetani mkuuTundu Lissu ana tatizo gani mpaka mtu atake afe? Kupigania haki na kukosoa watawala siku ni dhambi kubwa kiasi hiki? Mungu atusaidie sana.
Siku zote Shetani hajawahi kumshinda Mungu .Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.
======
Taarifa zote za uhakika tutakuwa tunazitoa kila baada ya muda mfupi...
Picha HELKOPITA iliyombeba Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ikiwa angani kuelekea Nairobi
View attachment 583481
Mmmh
Wakuu,
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.
Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.
Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea Bungeni na alienda Nyumbani kula chakula cha mchana.
Lissu amepigwa risasi 5, miguuni na tumboni.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hali ya Mbunge huyo aliye hospitalini sasa ni mbaya!
![]()
![]()
![]()
Updates to follow
=======
UPDATES:
=======
UPDATE: Ndege imeshawasili Dodoma ili kumchukua Tundu Lissu kumpeleka Muhimbili kwa matibabu zaidi
DODOMA: RPC amesema watu waliomshambulia Tundu Lissu walikuwa wakitumia gari aina ya Nissan la rangi nyeupe
Freeman Mbowe: Ndugu Lissu kwa sasa yuko katika chumba cha upasuaji anajaribu kuokoa maisha yake, nitazungumza baadaye.
View attachment 583459
UPDATES: Miongoni mwa waliofika hospitali kumuona Lissu ni Spika Job Ndugai, Waziri Ummy Mwalimu na katibu mkuu wa bunge, Dkt. Thomas Kashilila
TAARIFA YA AWALI KUHUSU SHAMBULIO LA KUPIGWA RISASI MHE. TUNDU LISSU
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kupigwa risasi Mwanasheria Mkuu wa Chama ambaye pia ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Antipus Lissu baada ya kikao cha Bunge mchana wa leo.
Shambulio hilo limetokea majira ya mchana nyumbani kwake Area D Dodoma na kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika Hosiptali ya Mkoa wa Dodoma.
CHADEMA tunalaani vikali kitendo hicho, na tunafuatilia kwa karibu hali yake.
Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
Imetolewa na Kurugenzi ya Uenezi, Mawasiliano na Mahusiano ya Nje.
CHADEMA MAKAO MAKUU
DAR ES SALAAM.
=====
Preliminary Press Statement on the incidence of Hon. Tundu Lissu being shot
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) has received with great shock the report on the shooting of the Attorney General of the Party who is also the Chief Whip of the Official Opposition in Parliament and MP of Singida East, Hon. Tundu Antipus Lissu just after a Parliamentary session today.
The attack took place at his Dodoma residence at midday and was seriously wounded and had been rushed to the Dodoma Regional Hospital.
CHADEMA strongly condemns this act, and we are following up closely on his condition.
We will continue to update as we get more information.
Issued by the Directorate of Ideology, Publicity, Communications and Foreign Relations.
=======
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ameeleza jinsi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alivyopigwa risasi nyumbani kwake mjini Dodoma.
Selasini amesema kuwa maelezo aliyopata ni kuwa alikuwa akifuatiliwa na gari tangu anatoka bungeni na dereva wake alilishtukia. Amesema kuwa alivyoona wanamfutilia alipofika nyumbani, dereva alimsihi Lissu asishuke ndani ya gari.
"Hao watu walipoona hawashuki walijifanya kuna kitu wanaangalia walivyoona kuna utulivu walisogeza gari lao ambalo ni tinted na kuanza kurusha risasi upande wa Lissu." amesema.
Selasini amesema, “Risasi zilimpata mguuni, mkononi na tumboni lakini daktari anasema anaendelea vizuri."
Lissu amepigwa risasi leo Alhamisi na kupelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma.
Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, wabunge na viongozi wengine wa ulinzi wa Bunge wamefika katika hospitali hiyo kujua kinachoendelea.
Baadhi ya ndugu na wagonjwa wamefurika katika chumba cha upasuaji cha hospitali ya mkoa wakitafakari huku wengine wakilia.
MORE UPDATES
Katibu wa Bunge amethibitisha kufika kwa ndege Dodoma kumchukua Tundu Lissu kumpeleka hospitali ya Muhimbili ili kuokoa maisha yake
View attachment 583477
Rais Magufuli ametoa pole na kutaka Vyombo vya Dola kuchukua hatua:
![]()
CCM imetoa pole
![]()
Waziri wa zamani, Mark Mwandosya naye ametoa pole
![]()
Mungunani wa kupachimba ndugu yangu!!?
I don't have that time to waste, please watch you're tail.
Umesoma nilichoandika au umekimbilia kujibu tu. Dereva amegundua anafuatiliwa akaamua kwenda nyumbani. Wewe unafuatiliwa nyuma na usiowajua utaenda nyumbani? Ukiingia ndani ndio dead end hio huna cha kujitetea. Kuna sehemu nyingi za kwenda zaidi ya nyumbani tena unaendesha one of the very powerful cars on the market.
Lini wamewahi kuwa competent watz?Wanaweza kutupiga wanyonge tuu.Ila kila mahali watz ni very predictable and incompetent km maprof yao. Kwanza aliyepanga issue nzima sio competent.FINALLY MUNGU NDIE MKUBWA.wauwaji hawawezi kupiga risasi 8 halafu wapige tumboni,miguuni na dereva asiguswe..au laa hawakuwa professionals
Dah kweli mchawi mpe mwanao akulelee
Acha ujinga basiChadema wampeleke hata na ya binafsi wasitumie huo uchafu ulioleta na mashetani maccm manafiki sana.
Our fellow MP for
Singida East Tundu
Lissu has been shot by
unknown people. He
has been rushed to
dodoma general
hospital~~~Zitto Kabwe
naiona tanzania nyeusiwao kina nani kuwa specific kidogo.