Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,612
- 1,776
Ni akina nani maadui wa Tindu Lissu?
......Who may want to see him dead .....
Mungu ataonekana tena katika maisha ya lissu.Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.
======
Taarifa zote za uhakika tutakuwa tunazitoa kila baada ya muda mfupi...
Picha HELKOPITA iliyombeba Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ikiwa angani kuelekea Nairobi
View attachment 583481
Ningekuona wa maana ungewaambia hivyo bavicha jana na sio kuleta unafiki wako leo.mtu yeyote anayeshangilia vifo sio mfano wa kujivunia au kukumbukaka
Usilie mkuu, Lissu yupo bado.Nimeshindwa kujizuia kwakweli nimelia sana.
post using my macbook air using jamiiforums app
Mbona maovu yanaongezeka? Ubakaji, ufira..,utoaji mimba,wixi ufisadi, hirizi, uchawi. Kusagana. Sema jingine.Siku zote Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
Pole sana. Mungu atakuponya,Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.
======
Taarifa zote za uhakika tutakuwa tunazitoa kila baada ya muda mfupi...
Picha HELKOPITA iliyombeba Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ikiwa angani kuelekea Nairobi
View attachment 583481
Uwe mwema usiwe mwema mauti hayakwepeki.Unyama huu ni ktendo klchopangwa na lengo n kutoa uhai wake akka mungu ndo anaejua uhai wa mtu, na hao wanafk wanaoanza kutoa salam za pole n unafk mtu hao ndo wapangaj wa shambulio hilo, na mungu hakka atawaumbua. Hakka uongozi wenu hautakubalka na jamii, mtalaaniwa na mwsho wenu n mbaya,nyie endeleen na utawala wenu wa kdkteta uchwara, jiulzen gadafi yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiongee Kama unaharisha Chooni. Una uhakika gani kwamba ni CCM? Kenge wewe!mungu ni mwema naomba ashushe ghazabu kwa wote wanafiki wa ccm
Inshalah ngoja tusubiri matokeo,ila ni very very painfullyUsilie mkuu, Lissu yupo bado.
Tuwe makini na kauli zetu, tusijifanye welevu sana kwa mambo ya uchunguzi wakati hata definition ya investigation hatujui.Tujiulize mnyika aliposema bungen mauaji kama ya kibiti yanaweza kutokea nchi nzima alijuaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si alidai amewakaba, vipi tena?NAJUA TU HAWA JAMAA WANAMUOGOPA HUYU WAMEMSHINDWA KISIASA SASA WANATAKA KUUA KABISA
Tuache bhaanaYaani Inamaana tanzania hakuna hospital ya kutibu majeraha ya risasi