Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mnataka muhimbili ili mkammalizie?Why NAIROBI and not MUHIMBILI?
Unataka abaki hapa ili iweje?Sasa si wapinzani wanalalamika viongozi kutibiwa nje ya nchi. Imekuweje tena?
Mungu ni Mwema!!!!!!Ni bora iwe kweli mana hali Ni mbaya Sana tetesi Ni nyingi mtaani!
Akipona aitwe mahakamani kujibu kesi zinazomkabili.namuombea mh Tundu lissu apone japo nilitaman kuona pale alipojeruhiwa...
Kwani mgonjwa huyo!! Huyu mlitaka roho yake na Mungu si wenu pekee yenuSasa si wapinzani wanalalamika viongozi kutibiwa nje ya nchi. Imekuweje tena?
Get well soon Tundu LissuMwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.
======
Taarifa zote za uhakika tutakuwa tunazitoa kila baada ya muda mfupi...
Picha HELKOPITA iliyombeba Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ikiwa angani kuelekea Nairobi
View attachment 583481
Anajulikana kivipi Mkuu!?? Hebu tujuze vizuri hapo?Mhusika anajulikana
Akina nani hao?Kwani mgonjwa huyo!! Huyu mlitaka roho yake na Mungu si wenu pekee yenu
Cairo's
hahaha we jamaa acha maujinga tuko kwenye huzuni.Lissu ana roho ya Paka, Hajafa!!!!
ushindwe na ulegee. kwa taarifa yako bunge lina utaratibu wa kugharamia matibabu ya wabunge wake.Hiyo bili analipa nani? Tls lile jengo halitajengwa ngo! Hela yote itaishia kwenye matibabu