DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Maguuuuuuuu!!!!! Dr...............!!!!!!!!! Umeyasikia haya ? Siroooooooo na kipilimbaaaaaaaa tafadhali wekeni mguu chini kieleweke wahusika Ni nani ? Maaana alitaja kufuatliwa au alikuwa analindwa??? Je Leo walikuwa wapi mpaka wakora wakapata mwanya ?????

af8a71565f1fdcc416952fd6311edb9e.jpg

Huyu nae anajijua kuwa ni binadamu.

0bba1a9a377acf5e260d127ab3c4f992.jpg

Shame on you malparida [emoji35] [emoji35]

Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.

Taarifa zote za uhakika tutakuwa tunazitoa kila baada ya muda mfupi...
Picha HELKOPITA iliyombeba Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ikiwa angani kuelekea Nairobi
View attachment 583481
Get well soon Tundu Lissu

Mkono wako ni mkono wenye uweza
Mkono wako una nguvu
Mkono wako wa kuume umetukuka
Huniponya na adui zangu; Naam, waniinua juu yao walioniinukia, Na kuniponya na mtu wa jeuri.
Unilinde nafsi yangu na kuniponya, Nisiaibike, maana nakukimbilia Wewe .
''IN TL PRAYING Voice's...''
ameni

Anaitaji ulinzi mkali hata huko walipo mpeleka maana hawa killer wanaonekana walikuwa na nia ya dhati ya kummaliza, wasiwaamini sana hata hao madocta jamani

Sent using Jamii Forums mobile app

af8a71565f1fdcc416952fd6311edb9e.jpg

Huyu nae anajijua kuwa ni binadamu.

0bba1a9a377acf5e260d127ab3c4f992.jpg

Shame on you malparida [emoji35] [emoji35]

Back
Top Bottom