DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

jamaa katushtua sana watanzania kwa lililompata,sijawahi kuamini kuwa ni kweli binadamu anaweza kudhamilia kuutoa uhai wa mwenzie kisa siasa...
Mkuu kwa Africa hasa hivi vinchi vinavyoongozwa kiujanja ujanja na watu wasiojiamini{yaani kila wakati kiongozi anataka aonekane mzuri yeye,mtendaji mzuri yeye mara malaika yeye}haya yanawezekana.ukiwa mpinzani Africa upinzani wako jitahidi uwe na kiasi lah ukubali kuishi kishujaa kama Mh Lissu.mkulu alitegemea aibue kick kwa kupokea report ya tume yake bahati mbaya Lissu kampiga pasi japo ni kwa maumivu makubwa.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kwani waliopigwa risasi kibiti sio binadamu mbona hamkusema nao wakatibie nje? Na hata michango hamkuwachangia mngekuwa na huruma mngechanga kwa ndugu zetu wa kibiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafki....nyie Hamna tofauti na wachawi

Ova
hayo ni maoni yako mkuu sikatai, ila nimesema kinachoujaza moyo wangu Mungu shahidi wewe baki hivyohivyo. namuangalia Lissu sio kama mwanachadema bali binadamu,baba wa familia,ambaye anahaki ya msingi ya mwanadamu yoyote ile kuishi.
ila katika simanzi hii, na maombezi ninayomuombea nina haki ya msingi pia kukemea uzushi kama huo wa chopper na mingine.
Kikubwa Mungu atamponya... Naamini.
hakuna unafiki kwenye uhai wa Mtu ndugu... Nitake radhi.
 
Aisee nilishangaa napigiwa simu kutoka kijijini huko na mzee wangu mdogo akiniuliza hili jambo na bahati mbaya sikuwa na arifa yoyote nikabisha ila nilipoingia online nikakutana na hizi habari.Lissu anafuatiliwa sana na inaweza kuwa kwa umaarufu Lissu yupo juu ya Magu au kinyume chake.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa akili ya kuvukia barabara haingii akilini kabisa kwanza helicopter ina space ya kutosha kubeba machela ile na vitu kibao

Na haiwezi kutokea
Kaka nmekuwa askari wa uokovu sehemu fulani n.kweli helicopter inauwezo wakubeba mgonjwa! Nimefunga wagonjwa kwenye helicopter za flying doctor kutoka Kenya nlipokuwa mlima kilimanjaro juu above 4320m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani waliopigwa risasi kibiti sio binadamu mbona hamkusema nao wakatibie nje? Na hata michango hamkuwachangia mngekuwa na huruma mngechanga kwa ndugu zetu wa kibiti

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu huwez fika hatua hiyo,kiongozi ni kiongozi,
Mbona bibi yako alipokufa watu hawakusema kwenye allazeera?au BBC?
Sasa ujue kiongozi ni kiongozi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu huwez fika hatua hiyo,kiongozi ni kiongozi,
Mbona bibi yako alipokufa watu hawakusema kwenye allazeera?au BBC?
Sasa ujue kiongozi ni kiongozi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna viongozi wa ccm walipigwa risasi kibiti pamoja na police wengi tu lakin hatukuona rambirambi wala kusema chochote ila lisu sababu yeye ni mbunge ndiyo tuwe mbele kwake haipo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada Ya Sakata La Lissu Kupigwa
Risasi Na Watu Wasiojulikana Mapema Leo Hii Watanzania Wengi
Mno Ikiwemo Na Mimi ...

Habari Ya Lissu Imefika Pahala
Mpaka Ile Ripoti Ya Madini Imesahaulika Kabisa
...
Isije kuwa ndio mpango mzima, kwamba hizo ripoti za kamati za bunge, baada ya kutolewa jana bungeni zimekuwa mwiba kwa wahusika!!
 
Kuna viongozi wa ccm walipigwa risasi kibiti pamoja na police wengi tu lakin hatukuona rambirambi wala kusema chochote ila lisu sababu yeye ni mbunge ndiyo tuwe mbele kwake haipo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Uonavyo mpendwa,akili ni nywele....hapo siwezi kukuingilia kuhusu hilo!!!

Vuta ni kuvute zilizokuwa zinaendelea kama kawaida ya siasa,zinatia wasi zaidi,,,,ok tuache iende hivyo,

Mungu tu amponye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa katushtua sana watanzania kwa lililompata,sijawahi kuamini kuwa ni kweli binadamu anaweza kudhamilia kuutoa uhai wa mwenzie kisa siasa...
Wanasiasa wetu WaPo kwaajili ya maslahi Yao binafsi tu.....ndo maana huwa waongo sana..ukijitokeza hadharani kusema na kupinga uhovu anakuwa adui namba1
 
James Delicious
Sheta
Aunt Ezekiel
[emoji51][emoji51][emoji51]!!!
 
Wataisingizia serikar sana wakati wenyewe hata kubadirishana uwenyekiti wanashindwa sasa kwa nini wasiuwane kama wanaona kuna mtu anakiherehere!

Sent using Jamii Forums mobile app

Lisu na lowasa nani anagombea uraisi 2020?

Sent using Jamii Forums mobile app

Uliwahi sikia lini ccm ikatangaza mgombea uraisi kabla ya miaka mitatu ya uchaguzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine jitahidi kuficha ujinga wako! Hasa wakati unapoona watu wako serious!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…