Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Mkuu kwa Africa hasa hivi vinchi vinavyoongozwa kiujanja ujanja na watu wasiojiamini{yaani kila wakati kiongozi anataka aonekane mzuri yeye,mtendaji mzuri yeye mara malaika yeye}haya yanawezekana.ukiwa mpinzani Africa upinzani wako jitahidi uwe na kiasi lah ukubali kuishi kishujaa kama Mh Lissu.mkulu alitegemea aibue kick kwa kupokea report ya tume yake bahati mbaya Lissu kampiga pasi japo ni kwa maumivu makubwa.jamaa katushtua sana watanzania kwa lililompata,sijawahi kuamini kuwa ni kweli binadamu anaweza kudhamilia kuutoa uhai wa mwenzie kisa siasa...
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app