Haa haa haa john mtembezi alisemaga fent ferge eeeeh haa baaAcheni ujinga ...badala ya kumwombea lissu aondokane na tishio la kifo ninyi mnashangilia fent ferge
nyengine ni Washington PostHabari za Lisu BBC.
Habari za Lisu VOA
Habari za Lisu K24 na CitizenTV
Habari za Lisu SABC.
Hizi ndizo channel nilizotupia macho. Zote zimetangaza habari za Lisu
tutaitwa wote wapiga dili tuu
Maswali ni mengi sana. Unafuatiliwa toka bungeni na bado dereva anaamua kwenda nyumbani!Hii inasikitisha sana ila bado kuna maswali yananisumbua kichwa mpaka sasa kwa mfano hivi huyu mpigaji risasi ni kwamba alikuwa anafyatua risasi hovyo maana naona nyingine amezipiga mpaka kwenye usawa wa mlango kwa chini ya kiti cha abiria au alikuwa anataka kumlenga unyayo? Risasi nyingi sana zinaonekana kama zilipigwa eneo la usawa wa mabega, kifua na shingo, je Lissu alikuwa anaendesha au alikuwa abiria? Kwa uwingi wa risasi zilizopigwa na zilizompata ambazo nimesikia ni zaidi ya tano ni kweli kwa nguvu ya silaha za risasi hizo damu haikuweza kuruka au kusambaratika mpaka kufika kwenye kioo? Na je, baada ya ajali hiyo Mh Lissu alitoka nje ya gari kupitia mlango upi wa dereva au wa abiria? Hii ni kwasababu naona mlango wa abiria hauna kabisa hata tone la damu lililodondokea au michirizi ya damu kutiririka? Hakuna mdau yeyote ambaye alifanikiwa kuzipata picha za ndani ya gari ilivyokuwa tuone kilichotokea? Inanisumbua sana akili yangu hii kabla hatujaanza kutupia shutuma kwa ndugu zetu wa mlango wa kati..
Mwiba ni kwanini Kiti na Serikali wamewachezea shere watanzania kupitia Ripoti hizo? Zilitakiwa zijadiliwe bungeni halafu yatoke maazimio ya Bunge kwa serikali. Lakini kwa kuwa kilichomo kwenye ripoti kinawagusa akina Dk. Kalemani Kiti kimeziwahisha taarifa hizo bungeni ambako mjadala ungeweka wazi mambo ambayo yangewagusa akina Kalemani na wengine. Hii nchi bado sana!Isije kuwa ndio mpango mzima, kwamba hizo ripoti za kamati za bunge, baada ya kutolewa jana bungeni zimekuwa mwiba kwa wahusika!!
Aka!Acha kukashifu ukristu wewe. Sema katika jina la shetani
Ni rahisi kukosea mwezi tarehe za mwanzo au kukosea mwaka miezi ya mwanzo.Ushahidi huu hapa hii barua iliandaliwa mwezi mmoja uliopita kusubiri tukio.
View attachment 583583
Sijui kwanini kiwango cha ujinga kinaongezeka kwa kasi sana awamu hii!Wataisingizia serikar sana wakati wenyewe hata kubadirishana uwenyekiti wanashindwa sasa kwa nini wasiuwane kama wanaona kuna mtu anakiherehere!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuu nchi yangu jaman ndo tumefikia hapa????hiki ndicho kinachoniliza.why??mbona haya mambo sisi hatujazoea jamani??mbona sisi watanzania vita zetu na siasa zetu huishia kwenye maneno lkn jion tunakula pamoja,tunacheza mpira pamoja tunafuturu pamoja.ni nani huyo anataka kuharibu amani ya nchi yetu??Big NO!hatukubali!Tunamuomba Mungu atuondolee huyo adui.si mtanzania huyo.mtanzania sifa yake anakasirika kweli lakini mwisho wa siku anasemehe na hapendi kuona damu ikimwigika.utaratibu wetu ni kuzungumza na kuyamaliza.hiki kitu ni kipya.Big NOOOOO.hatukubali.damu zi kitu kizuri.damu ikimwagika inapiga kelele na inapanda mbegu ya chuki.jamani mataifa ya huko mashariki ya kati si mnaona yanayotendeka?ni kwasababu walianza kama ivi,damu ilimwagika kidogo kidogo hawakujali.tukemee hii hali kuanzia mdogo mpaka mkubwa.tusikubali uovu huu.tumwombe Mungu atuondolee mafedhuli hawa wanaotaka kuharibu nchi yetu na amani yetu.na sisi watanzania tutashinda.
kwasababu zake na faida yake binafsi ..et sababu tu ninguli washeria ,, wakati ndio maana nahisi hata hizi sheria zetu nizakipuuzi kabisaaaaa .
Tundu lissu ,angekua CHINA TAYARI ANGEKUA AMENYONGWA .NAHUO NDO UKWELI.
N.B SISHABIKII TUKIO LILOMPATA MAANA NJE YASIASA NIBABA ANAMKE NAWATOTO NANDUGU.
Isije kuwa ndio mpango mzima, kwamba hizo ripoti za kamati za bunge, baada ya kutolewa jana bungeni zimekuwa mwiba kwa wahusika!!