DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali


wanaogopa maazimio ya bunge hata aibu hawaoni bunge limekuwa la kijinga kabisa.
 
Hivi Ndugu Daudi Albert Bashite,Joseph Ludovic na Deus Mallya hawa watu walikuwa wapi jana? Wenye namba zao ebu trackin kama walisomeka Dodoma au Kwenye mabasi au viawanja vya ndege kama walibook ticket za kwenda Dodoma.

Kwa Mujibu wa Mwigullu aliagiza vyombo vya usalama waweke vizuizi kwenye njia zote kuu za kukota dodoma mara baada ya tukio that means hao "Watu wasiojulikana" watakuwa ndani ya dodoma na gari lao,na imani gari washalitelekeza polisi wakiliona gari waangalie finger frint wanawez kuwatambua waliofanya hayo madudu,na hii issue ikipita bila kuwagundua waharifu basi Waliotekeleza hilo tukio ni ____________(Sina Milioni 7).
 
Kwani waliopigwa risasi kibiti sio binadamu mbona hamkusema nao wakatibie nje? Na hata michango hamkuwachangia mngekuwa na huruma mngechanga kwa ndugu zetu wa kibiti

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata rais ni binadamu kama wengine ila akipita barabarani mnakaa pembeni so usilinganishe watu wa nchi fulani kua sawa wote kwenye shughuli tofauti labda na sheria au mahakamani huko ndo wanapaswa kua sawa umesikia dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni rahisi kukosea mwezi tarehe za mwanzo au kukosea mwaka miezi ya mwanzo.
Jiongeze basi wasikosee siku zoote wanapotoa press release zao ila wakosee jana tu! kila kitokeacho hakitokei bure!
 
Mungu aingilie kati kuokoa maisha ya Tundu Lissu ila nimeumia sana kuona watu wachache wanajichukulia kutaka kutoa uhai kwa Mtanzania yeyote kutokana na matokeo ya nyuma ya utekaji pia.hapa Johannesburg gari likikufatilia mitaa miwili mitatu ujue wao ndio watakaouawa hakuna mjadala tena hapo hata wawe wazee wakionekana wanataka kufanya uharifu wewe ndio unawazuia na kuwapiga Risasi mbinu ya kufatilia ni kizamani wanachokifanya ni kwenda kukusubiri nyumbani ili wakuzuie wewe na pia wanauawa sana vijana wa Tembisa na Soweto nimesikitika sana kwa tukio hilo kwa kweli...
 
Maswali ni mengi sana. Unafuatiliwa toka bungeni na bado dereva anaamua kwenda nyumbani!
Kwani kaanza kufuatiliwa leo? katoa taarifa vyombo vya usalama kimyaaaa, na je ulitaka aende wapi policcm?
 
Sweet girl kuuwawa na wale wa....kupo sana na hakujaanza leo wamkumbuka sokoine, kolimba, sasa kama walidiriki kuwauwa wa ndani ya nyumba yao sembuse Lissu, tena aliyepanga hayo yote ni yule yule mwanzilishi wa lichama lao, kisa alihisi sokoine atachukua kiti chake soon!
 
Kwani kaanza kufuatiliwa leo? katoa taarifa vyombo vya usalama kimyaaaa, na je ulitaka aende wapi policcm?
Kuna mahali nimesema hakufuatiliwa? Wewe ukigundua kuna gari inakufuata nyuma utakimbilia nyumbani kwako? Shida yako ushahitimisha.
 
Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?

Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.

 
Chuma cha mjerumani Tanzania sio Nchi ya amani usikaririshwe wakati matukio ya utekaji na kupigwa risasi yanaendelea Bongo wanaopiga risasi wanafanikiwa kila kukicha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…