DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Ni siku ya sabato, lakiñi Naomba Mungu anisamehe kwa hilo, " wewe ni Nguruwe pori".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amefanya jambo gani kubwa la kukumbukwa, mmefanikiwa tu kwenye propaganda uchwara kama mnajiamini leteni tume ya uchaguzi kama huyo Sizonje wenu hatadondokea pua, mngemjua huku mtaani alivyochokwa mngekaa kimya tu.
 

Kama kweli Magufuli wenu ni "namba mbaya" na una uhakika na haya uliyoandika hapa. Basi sisi kilio chetu kipo palepale...tunataka katiba mpya yenye TUME HURU ya uchaguzi ndani yake halafu twende kwenye huo uchaguzi wa 2020. Hapo ndio utajua kwamba maoni yako yanaongozwa na hisia na sio uhalisia.
 
Atahitaji kupambana kwanza na fisadi mliyemkaribisha Chama ni kwenu na Nina wasiwasi kama Chama hicho kitasalimika endapo mtamwondoa maana alishatangaza kuwa anayetaka kugombea ataenda kupambana naye.
Kusema Tundu Lissu kukoswa ndiyo impe urais thubutu, kulikuwepo John McCain aliyeteseka Vietnam hata baada ya vita huku akitegemea zaidi sympathy za Wamarekani, je alipata dhidi ya Barack Obama. Unajua mwenyewe.
 
Alimwita pia Rais Magufuli kuwa ni mdini, mkabila na mkanda so atakuwa na wajibu wa kuwaelewesha watu wa Kanda ya Ziwa walioko nyuma kimaendeleo juu ya kauli yake hiyo. Ngoja wanamsubiri.
 
Chadema wana wagombea wangapi wa uraisi 2020, tuanzie hapa kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka niwe muwazi katika hili, kwa hali ya katiba tuliyonayo na mfumo uliopo wa tume ya uchaguzi, msitegemee vyama vya upinzani vinaweza kushinda uchaguzi wa nchi hii. Vipo km rubber stamp tu lakini serikali ya CCM haiko tayari kuruhusu ushindani huru!!! Na wao wanalijua vizuri hili kuwa km tume na katiba vitakuwa huru, it'll only take five hrs for CCM and it's allies to be completely out of tznian politics!!!
 
si kweli..labda unazungumzia sinema..hata hvo haya maneno yako yanatokana na nini,mbona hayana uhusiano na lolote
 
RECEI post: 23286124 said:
I hope ni kick ambayo na weza Sema imekuwa kicked off. Uhuni wa CDM ili tu kuichafua nchi


Duuuh we jamaa uko nchi Gan so kwa yote yanayotokea Tanzania still wakaa chini wasema that was a kik shame on you
 
Ni jambo la kushangaza kidogo hawa marafiki wa Lisu mpaka sasa hawajatoa pole yoyote kwa mtetezi wao mkubwa aliyepatwa na janga.

Lisu ndio alikuwa mtetezi wao mkubwa hivyo tunawasihi wamkumbuke mwenzao wakati wa shida na siyo kumtumia wakati wa furaha tu.

Bado hamjachelewa Miga na Acacia jitokezeni mmpe pole na kumchangia mtetezi wenu namba moja Tundu Lisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
je atapatikana aliye mshuut lissu?

alomtishia pastola nape,
aliyemshuti sheikh ponda - morogoro,
aliyemshut padre - znz,
walomtea ulimboka,
alimwagia tindikali kubenea,
madaktari.........
.........................
vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
tiss tupokweli?
au ni inside job????

kibiti??? amboni???

recall sokoine?????

ngoja tupange uendeshaji wa nchi.
ila mkuu anatoa sana siri za vita..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…