DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Ukitaka kusikia matamko yenye mashiko yawe yamwacha salama lisu

Lisu pekee ndio anaweza kuongea kitu cha cha maaana kwa Tanzania mahali popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA wamejifunza kuwa "Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu Mchungu"

Ile tabia ya vijana wa CHADEMA kushangilia na kuchekelea kila kiongozi wa CCM, mwanachama wa CCM au mtumishi wa serikali kufariki au kupata matatizo ya kiafya nadhani sasa itafika ukomo baada ya kupata machungu kwa namna baadhi ya vijana wa CCM kuwakumbusha zile comment zao kwa Mh. Tundu Lissu.

Vijana wa CHADEMA walishangilia sana vifo vya baadhi ya wanachama wa CCM wakisema kuwa walimtukana sana Lowassa eti na bado wacha tu waendelee kufa, mauaji ya Kibiti Vijana wa CHADEMA walishangilia sana, mauaji ya maaskari wetu mbalimbali Vijana wa CHADEMA walishangilia sana. Kifo cha comrade Peter Kalihose, vijana wa CHADEMA walishangilia sana.

Juzi tu Vijana wa CHADEMA walishangilia kifo cha Mbunge mteule wa CUF baadae wakashangilia vifo vya viongozi wa4 wa CUF vilivyotokana na ajali ya gari pale
pwani. Sishangai wala sitakaa kushangaa vijana ambao sio wafuasi wa CHADEMA kushangilia tukio la kupigwa risasi bwana Lissu na hata wengine wakipongeza alifanya hivyo na hata baadhi wakitaka Tundu Lissu aondoke tu Duniani. Na kwa bahati mbaya leo wamesahau unyama wao na roho zao za hovyo.

WANATAKA ETI WATANZANIA WOTE WAUNGANE NAO KATIKA KUMUOMBEA TUNDU LISSU APONE, Shame.

Leo ndo mjifunze sasa na komenti zenu za hovyo pale wenzenu wapokuwa kwenye matatizo kwasababu mmejua machungu yanayopatikana mioyoni mwao. Makamanda wenzangu, tubadilike

NB: MKUKI NI MCHUNGU MPAKA KWA NGURUWE.
BUT ALL IN ALL LETS PRAY FOR LISSU
 
Mkuu wakikuelewa nidai koka ya baridi. Hhaha. .... Walishajitwika zigo la CDM siku wakilitua watalazwa milembe maana hawajielewi kabisa.
 
Shida ya vijana upande wa CCM na government kwa ujumla, ni kushindwa kutofautisha mapenzi ya Mungu na mapenzi ya wanadaamu. Lisu kama ilivyo com Mawazo walikuwa wanalazimishwa kufa kwa sababu tu ya ulevi wa watu wa madaraka. Tofauti na hao unaowasema CDM haijawahi kuwadhuru kwa namna yoyote ile isipokuwa mapenzi ya Mungu. Huku upande wao wakishambuliwa kama swala ktk kundi la mbwa mwitu. INAUMA

Cairo's
 
CHADEMA wamejifunza kuwa "Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu Mchungu"

Ile tabia ya vijana wa CHADEMA kushangilia na kuchekelea kila kiongozi wa CCM, mwanachama wa CCM au mtumishi wa serikali kufariki au kupata matatizo ya kiafya nadhani sasa itafika ukomo baada ya kupata machungu kwa namna baadhi ya vijana wa CCM kuwakumbusha zile comment zao kwa Mh. Tundu Lissu.

Vijana wa CHADEMA walishangilia sana vifo vya baadhi ya wanachama wa CCM wakisema kuwa walimtukana sana Lowassa eti na bado wacha tu waendelee kufa, mauaji ya Kibiti Vijana wa CHADEMA walishangilia sana, mauaji ya maaskari wetu mbalimbali Vijana wa CHADEMA walishangilia sana. Kifo cha comrade Peter Kalihose, vijana wa CHADEMA walishangilia sana.

Juzi tu Vijana wa CHADEMA walishangilia kifo cha Mbunge mteule wa CUF baadae wakashangilia vifo vya viongozi wa4 wa CUF vilivyotokana na ajali ya gari pale
pwani. Sishangai wala sitakaa kushangaa vijana ambao sio wafuasi wa CHADEMA kushangilia tukio la kupigwa risasi bwana Lissu na hata wengine wakipongeza alifanya hivyo na hata baadhi wakitaka Tundu Lissu aondoke tu Duniani. Na kwa bahati mbaya leo wamesahau unyama wao na roho zao za hovyo.

WANATAKA ETI WATANZANIA WOTE WAUNGANE NAO KATIKA KUMUOMBEA TUNDU LISSU APONE, Shame.

Leo ndo mjifunze sasa na komenti zenu za hovyo pale wenzenu wapokuwa kwenye matatizo kwasababu mmejua machungu yanayopatikana mioyoni mwao. Makamanda wenzangu, tubadilike

NB: MKUKI NI MCHUNGU MPAKA KWA NGURUWE.
BUT ALL IN ALL LETS PRAY FOR LISSU

Utakuwa unawashwawashwa kama viongozi wako wastaafu!Ukandamizwaji ufanywao na vyombo vya dola dhidi ya upinzani ndiyo chimbuko la chuki iliyotamalaki nchini,ubaguzi wenu ndiyo unaofanya baadhi ya watu wafurahie majanga yenu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
CHADEMA wamejifunza kuwa "Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu Mchungu"

Ile tabia ya vijana wa CHADEMA kushangilia na kuchekelea kila kiongozi wa CCM, mwanachama wa CCM au mtumishi wa serikali kufariki au kupata matatizo ya kiafya nadhani sasa itafika ukomo baada ya kupata machungu kwa namna baadhi ya vijana wa CCM kuwakumbusha zile comment zao kwa Mh. Tundu Lissu.

Vijana wa CHADEMA walishangilia sana vifo vya baadhi ya wanachama wa CCM wakisema kuwa walimtukana sana Lowassa eti na bado wacha tu waendelee kufa, mauaji ya Kibiti Vijana wa CHADEMA walishangilia sana, mauaji ya maaskari wetu mbalimbali Vijana wa CHADEMA walishangilia sana. Kifo cha comrade Peter Kalihose, vijana wa CHADEMA walishangilia sana.

Juzi tu Vijana wa CHADEMA walishangilia kifo cha Mbunge mteule wa CUF baadae wakashangilia vifo vya viongozi wa4 wa CUF vilivyotokana na ajali ya gari pale
pwani. Sishangai wala sitakaa kushangaa vijana ambao sio wafuasi wa CHADEMA kushangilia tukio la kupigwa risasi bwana Lissu na hata wengine wakipongeza alifanya hivyo na hata baadhi wakitaka Tundu Lissu aondoke tu Duniani. Na kwa bahati mbaya leo wamesahau unyama wao na roho zao za hovyo.

WANATAKA ETI WATANZANIA WOTE WAUNGANE NAO KATIKA KUMUOMBEA TUNDU LISSU APONE, Shame.

Leo ndo mjifunze sasa na komenti zenu za hovyo pale wenzenu wapokuwa kwenye matatizo kwasababu mmejua machungu yanayopatikana mioyoni mwao. Makamanda wenzangu, tubadilike

NB: MKUKI NI MCHUNGU MPAKA KWA NGURUWE.
BUT ALL IN ALL LETS PRAY FOR LISSU

Kamuulize RC Dar siku ya tukio alikuwa wapi??
 
HIVI KUMBE CHADEMA NDIO WALIKUWA WANAMNANGA LOWASA KUWA NI MGONJWA KIPINDI CHA KAMPENI, KUMBE SELINA KOMBANI ALIKUWA CHADEMA
 
Back
Top Bottom