Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari yako rafikiwako kimyaaaaa waogaaaa
salama rafiki
wewe huna akili timamu utachukizwa vipi kwa Mwanasheria kupigwa risasi angekuwa na baba yako au wewe ndo ungelaaniSi kweli, Mi sijachukizwa ila Nalaaani mambo hayo
Kwani nimeandikaje. si nimesema wale baadhi ya mawakili... Nao wao pia ni sehemu ya TLS!Umekosea swali. Unapouliza TLS mmemuelewa as if TLS iliwahi kutokumwelewa Lissu. Ungewauliza baadhi ya Mawakili waliompinga kama sasa hivi wanamwelewa!
SAFARI HII TUTAWEKWA LOCKUP WENG SAAANA MAANA HII HAIVUMILIKIMhusika anajulikana
Mungu amasaidie sana Lissul.ataponaAngalau moyo umetulia, kuna watu qwanaumia niwawekee full muione viView attachment 585177
CHADEMA wamejifunza kuwa "Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu Mchungu"
Ile tabia ya vijana wa CHADEMA kushangilia na kuchekelea kila kiongozi wa CCM, mwanachama wa CCM au mtumishi wa serikali kufariki au kupata matatizo ya kiafya nadhani sasa itafika ukomo baada ya kupata machungu kwa namna baadhi ya vijana wa CCM kuwakumbusha zile comment zao kwa Mh. Tundu Lissu.
Vijana wa CHADEMA walishangilia sana vifo vya baadhi ya wanachama wa CCM wakisema kuwa walimtukana sana Lowassa eti na bado wacha tu waendelee kufa, mauaji ya Kibiti Vijana wa CHADEMA walishangilia sana, mauaji ya maaskari wetu mbalimbali Vijana wa CHADEMA walishangilia sana. Kifo cha comrade Peter Kalihose, vijana wa CHADEMA walishangilia sana.
Juzi tu Vijana wa CHADEMA walishangilia kifo cha Mbunge mteule wa CUF baadae wakashangilia vifo vya viongozi wa4 wa CUF vilivyotokana na ajali ya gari pale
pwani. Sishangai wala sitakaa kushangaa vijana ambao sio wafuasi wa CHADEMA kushangilia tukio la kupigwa risasi bwana Lissu na hata wengine wakipongeza alifanya hivyo na hata baadhi wakitaka Tundu Lissu aondoke tu Duniani. Na kwa bahati mbaya leo wamesahau unyama wao na roho zao za hovyo.
WANATAKA ETI WATANZANIA WOTE WAUNGANE NAO KATIKA KUMUOMBEA TUNDU LISSU APONE, Shame.
Leo ndo mjifunze sasa na komenti zenu za hovyo pale wenzenu wapokuwa kwenye matatizo kwasababu mmejua machungu yanayopatikana mioyoni mwao. Makamanda wenzangu, tubadilike
NB: MKUKI NI MCHUNGU MPAKA KWA NGURUWE.
BUT ALL IN ALL LETS PRAY FOR LISSU

HIVI KUMBE CHADEMA NDIO WALIKUWA WANAMNANGA LOWASA KUWA NI MGONJWA KIPINDI CHA KAMPENI, KUMBE SELINA KOMBANI ALIKUWA CHADEMACHADEMA wamejifunza kuwa "Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu Mchungu"