DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Ni jambo la kushangaza kidogo hawa marafiki wa Lisu mpaka sasa hawajatoa pole yoyote kwa mtetezi wao mkubwa aliyepatwa na janga.

Lisu ndio alikuwa mtetezi wao mkubwa hivyo tunawasihi wamkumbuke mwenzao wakati wa shida na siyo kumtumia wakati wa furaha tu.

Bado hamjachelewa Miga na Acacia jitokezeni mmpe pole na kumchangia mtetezi wenu namba moja Tundu Lisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni siku ya sabato, lakiñi Naomba Mungu anisamehe kwa hilo, " wewe ni Nguruwe pori".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa atakuwa candidate wa kugombea urahisi kwa ticket ya CHADEMA na UKAWA, kama huo umoja bado upo, lakini ushindi dhidi ya Magufuli hiyo sahau. Watanzania wameamka sana kwa hivi sasa. Asante Magufuli tunaona sasa nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi yetu. Na ni kuambie tu kwa taarifa yako inawezekana Tundu Lissu akawa mpinzani maarufu sana, lakini kuwa mpinzania maarufu hakumaanishi kuwa amepata credit na watanzania kuwa kiongozi wao. Hizo ni ndoto au ni wishes zenu wana CHADEMA. Magufuli is a big number so tu kwa watanzania bali ulimwenguni.

CHADEMA bado mna njia ndefu ya kufika huko. Uchaguzi wa 2020 msitegemee kumwangusha Magufuli. Watanzania hawatasahau mambo mazito ambayo Magufuli ameyafanya. Maamuzi mazito ambayo ame ya chukua ya kulinda rasilimali zetu hata Tundu Lissu asinge weza.
Kwa jinsi ninavyo mjua yeye anonyesha kuwa bado ni kidampa wa wazungu. Aendelee kuwasujudu hao wazungu wake. Watanzania tuna msimamo mwingine wa kifikra. Taifa letu lina thamani kubwa sana kuliko pesa za hao mutant!

Sent using Jamii Forums mobile app
Amefanya jambo gani kubwa la kukumbukwa, mmefanikiwa tu kwenye propaganda uchwara kama mnajiamini leteni tume ya uchaguzi kama huyo Sizonje wenu hatadondokea pua, mngemjua huku mtaani alivyochokwa mngekaa kimya tu.
 
Sawa atakuwa candidate wa kugombea urahisi kwa ticket ya CHADEMA na UKAWA, kama huo umoja bado upo, lakini ushindi dhidi ya Magufuli hiyo sahau. Watanzania wameamka sana kwa hivi sasa. Asante Magufuli tunaona sasa nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi yetu. Na ni kuambie tu kwa taarifa yako inawezekana Tundu Lissu akawa mpinzani maarufu sana, lakini kuwa mpinzania maarufu hakumaanishi kuwa amepata credit na watanzania kuwa kiongozi wao. Hizo ni ndoto au ni wishes zenu wana CHADEMA. Magufuli is a big number so tu kwa watanzania bali ulimwenguni.

CHADEMA bado mna njia ndefu ya kufika huko. Uchaguzi wa 2020 msitegemee kumwangusha Magufuli. Watanzania hawatasahau mambo mazito ambayo Magufuli ameyafanya. Maamuzi mazito ambayo ame ya chukua ya kulinda rasilimali zetu hata Tundu Lissu asinge weza.
Kwa jinsi ninavyo mjua yeye anonyesha kuwa bado ni kidampa wa wazungu. Aendelee kuwasujudu hao wazungu wake. Watanzania tuna msimamo mwingine wa kifikra. Taifa letu lina thamani kubwa sana kuliko pesa za hao mutant!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama kweli Magufuli wenu ni "namba mbaya" na una uhakika na haya uliyoandika hapa. Basi sisi kilio chetu kipo palepale...tunataka katiba mpya yenye TUME HURU ya uchaguzi ndani yake halafu twende kwenye huo uchaguzi wa 2020. Hapo ndio utajua kwamba maoni yako yanaongozwa na hisia na sio uhalisia.
 
Kitendo cha Lissu kunusulika na kusalia kuishi hapa dunia ni dhahili Mungu anamakusudi yake!

Kwa hili sasa halihitaji ubishi, Tundu lissu ndio mpinzani mkuu wa rais Magufuli hapo 2020 na uwezo wa kushinda ni mkubwa

Kutokana na nature ya tukio alilofanyiwa TL hakika linaumiza lakini waliolifanya ndio hivyo hawajitambui, zaidi wamemjenga na kumuimarisha kisiasa kuelekea mbio za urais 2020

Lissu sasa anasikika kila kona ya nchi, kiki aliyotengenezewa na haitafutika leo wa kesho, ndivyo siasa ilivyo hivyo yaani hutegemea matukio kama kufungwa, kuishi nchi za ugenini (mkimbiz wa kisiasa) na watu wa namna hii wanaporudi nchi mwao na kuwa huru hufanikiwa sana katika siasa zao za kimapinduzi!

Get well soon TL

D.A "Mwanaume mashine"
Atahitaji kupambana kwanza na fisadi mliyemkaribisha Chama ni kwenu na Nina wasiwasi kama Chama hicho kitasalimika endapo mtamwondoa maana alishatangaza kuwa anayetaka kugombea ataenda kupambana naye.
Kusema Tundu Lissu kukoswa ndiyo impe urais thubutu, kulikuwepo John McCain aliyeteseka Vietnam hata baada ya vita huku akitegemea zaidi sympathy za Wamarekani, je alipata dhidi ya Barack Obama. Unajua mwenyewe.
 
Kitendo cha Lissu kunusulika na kusalia kuishi hapa dunia ni dhahili Mungu anamakusudi yake!

Kwa hili sasa halihitaji ubishi, Tundu lissu ndio mpinzani mkuu wa rais Magufuli hapo 2020 na uwezo wa kushinda ni mkubwa

Kutokana na nature ya tukio alilofanyiwa TL hakika linaumiza lakini waliolifanya ndio hivyo hawajitambui, zaidi wamemjenga na kumuimarisha kisiasa kuelekea mbio za urais 2020

Lissu sasa anasikika kila kona ya nchi, kiki aliyotengenezewa na haitafutika leo wa kesho, ndivyo siasa ilivyo hivyo yaani hutegemea matukio kama kufungwa, kuishi nchi za ugenini (mkimbiz wa kisiasa) na watu wa namna hii wanaporudi nchi mwao na kuwa huru hufanikiwa sana katika siasa zao za kimapinduzi!

Get well soon TL

D.A "Mwanaume mashine"
Alimwita pia Rais Magufuli kuwa ni mdini, mkabila na mkanda so atakuwa na wajibu wa kuwaelewesha watu wa Kanda ya Ziwa walioko nyuma kimaendeleo juu ya kauli yake hiyo. Ngoja wanamsubiri.
 
Kitendo cha Lissu kunusulika na kusalia kuishi hapa dunia ni dhahili Mungu anamakusudi yake!

Kwa hili sasa halihitaji ubishi, Tundu lissu ndio mpinzani mkuu wa rais Magufuli hapo 2020 na uwezo wa kushinda ni mkubwa

Kutokana na nature ya tukio alilofanyiwa TL hakika linaumiza lakini waliolifanya ndio hivyo hawajitambui, zaidi wamemjenga na kumuimarisha kisiasa kuelekea mbio za urais 2020

Lissu sasa anasikika kila kona ya nchi, kiki aliyotengenezewa na haitafutika leo wa kesho, ndivyo siasa ilivyo hivyo yaani hutegemea matukio kama kufungwa, kuishi nchi za ugenini (mkimbiz wa kisiasa) na watu wa namna hii wanaporudi nchi mwao na kuwa huru hufanikiwa sana katika siasa zao za kimapinduzi!

Get well soon TL

D.A "Mwanaume mashine"
Chadema wana wagombea wangapi wa uraisi 2020, tuanzie hapa kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka niwe muwazi katika hili, kwa hali ya katiba tuliyonayo na mfumo uliopo wa tume ya uchaguzi, msitegemee vyama vya upinzani vinaweza kushinda uchaguzi wa nchi hii. Vipo km rubber stamp tu lakini serikali ya CCM haiko tayari kuruhusu ushindani huru!!! Na wao wanalijua vizuri hili kuwa km tume na katiba vitakuwa huru, it'll only take five hrs for CCM and it's allies to be completely out of tznian politics!!!
 
Falsafa ya maisha inasema "kipimo unachowapimia wenzako nawe utapimiwa hichohicho, utakachotenda ndicho utakachotendewa. Na huwezi kufa bila kuyaonja machungu yaleyale"
Unaposhangilia msiba wa mwenzako basi usishangae watu wakifanya sherehe katiba msiba wako
si kweli..labda unazungumzia sinema..hata hvo haya maneno yako yanatokana na nini,mbona hayana uhusiano na lolote
 
RECEI post: 23286124 said:
I hope ni kick ambayo na weza Sema imekuwa kicked off. Uhuni wa CDM ili tu kuichafua nchi

Duuuh we jamaa uko nchi Gan so kwa yote yanayotokea Tanzania still wakaa chini wasema that was a kik shame on you
 
Ni jambo la kushangaza kidogo hawa marafiki wa Lisu mpaka sasa hawajatoa pole yoyote kwa mtetezi wao mkubwa aliyepatwa na janga.

Lisu ndio alikuwa mtetezi wao mkubwa hivyo tunawasihi wamkumbuke mwenzao wakati wa shida na siyo kumtumia wakati wa furaha tu.

Bado hamjachelewa Miga na Acacia jitokezeni mmpe pole na kumchangia mtetezi wenu namba moja Tundu Lisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo la kushangaza kidogo hawa marafiki wa Lisu mpaka sasa hawajatoa pole yoyote kwa mtetezi wao mkubwa aliyepatwa na janga.

Lisu ndio alikuwa mtetezi wao mkubwa hivyo tunawasihi wamkumbuke mwenzao wakati wa shida na siyo kumtumia wakati wa furaha tu.

Bado hamjachelewa Miga na Acacia jitokezeni mmpe pole na kumchangia mtetezi wenu namba moja Tundu Lisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
je atapatikana aliye mshuut lissu?

alomtishia pastola nape,
aliyemshuti sheikh ponda - morogoro,
aliyemshut padre - znz,
walomtea ulimboka,
alimwagia tindikali kubenea,
madaktari.........
.........................
vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
tiss tupokweli?
au ni inside job????

kibiti??? amboni???

recall sokoine?????

ngoja tupange uendeshaji wa nchi.
ila mkuu anatoa sana siri za vita..............
 
Back
Top Bottom