Labda wanapenda wasikie na jina la chairman wao wa milele MBOWESi alishasema ni Magufuli? Au ninyi amuamini? Sasa atasema nini kipya? Si alisema wakati ana hojiwa kwenye hard talk na akaulizwa ushahidi?
Daah nimecheka mpaka mate yananipalia alooJasiri Tundu A. Lissu nasema na wewe
Ni muda muafaka sasa kusema na watanzania na dunia nzima, ili roho zetu zitulie.Au tufunge ukurasa wa jambo hili au kufungua ukurusa wa kuchukua hatua.
Ni nani alitaka kukuua,alitumwa na nani
Mbona alimtaja wakati wa kampeni? Anafahamika kabisa yule mwovu!Jasiri Tundu A. Lissu nasema na wewe
Ni muda muafaka sasa kusema na watanzania na dunia nzima, ili roho zetu zitulie.Au tufunge ukurasa wa jambo hili au kufungua ukurusa wa kuchukua hatua.
Ni nani alitaka kukuua,alitumwa na nani
Bwashee hivi unapigaga kijiti cha wapi,?Nipe darasa Bwashee.Hii ni awamu ya 6 bwashee.
Mambo yenu ya huko bara ya kutunguana risasi kama manyani mjadala wake umeshafungwa!
Kuwa ni manenepa.Si alishasema?
Lupembe, Njombe!Bwashee hivi unapigaga kijiti cha wapi,?Nipe darasa Bwashee.
Magufuli ni suspect no 1. tayari amekwisha kwenda zake mavumbini.Si alishasema ni Magufuli? Au ninyi amuamini? Sasa atasema nini kipya? Si alisema wakati ana hojiwa kwenye hard talk na akaulizwa ushahidi?
Badili Avatar mkuuBad News get well soon Tundu Lissu.
Kauli hii ya rais ilikuwa ni kubwa sana ,inakuwaje IGP hakuifanyia kazi?Rais Magufuli ametoa pole na kutaka Vyombo vya Dola kuchukua hatua:
Account imenona unyonge naupata wapi? Napiga zangu Hennesy tuu nowNiambie mzee Troll aka toroli la jeiefu. Upo na hali gani? Bado u jimwambafai au umepoa sasa.
Muda utafika wata sema yote.Mpaka leo hakuna bata sisimizi mmoja aliehojiwa kuhusiana na tukio hili.
Ni wazi mkono wa dhalimu yule mwendazake ulikuwepo na waratibu wakuu wakiwa ni yule alieonekana akiondoka mwendo kasi kurudi jijini mwake muda mfupi baada ya tukio na yule mnyea ndoo kule kisongo.