DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Si alishasema ni Magufuli? Au ninyi amuamini? Sasa atasema nini kipya? Si alisema wakati ana hojiwa kwenye hard talk na akaulizwa ushahidi?
Labda wanapenda wasikie na jina la chairman wao wa milele MBOWE
 
Jasiri Tundu A. Lissu nasema na wewe

Ni muda muafaka sasa kusema na watanzania na dunia nzima, ili roho zetu zitulie.Au tufunge ukurasa wa jambo hili au kufungua ukurusa wa kuchukua hatua.

Ni nani alitaka kukuua,alitumwa na nani
Daah nimecheka mpaka mate yananipalia aloo
 
Jasiri Tundu A. Lissu nasema na wewe

Ni muda muafaka sasa kusema na watanzania na dunia nzima, ili roho zetu zitulie.Au tufunge ukurasa wa jambo hili au kufungua ukurusa wa kuchukua hatua.

Ni nani alitaka kukuua,alitumwa na nani
Mbona alimtaja wakati wa kampeni? Anafahamika kabisa yule mwovu!
 
Alisema vizuri kipindi akiwa kwenye kampeni Kilwa kwamba ni huyu aliyetangulia mbele za haki na ambaye sasa anasubiri hukumu katika mahakama tukufu isiyojua rushwa wala cha wewe ulikuwa nani huko duniani.
 
Si alishasema ni Magufuli? Au ninyi amuamini? Sasa atasema nini kipya? Si alisema wakati ana hojiwa kwenye hard talk na akaulizwa ushahidi?
Magufuli ni suspect no 1. tayari amekwisha kwenda zake mavumbini.

Makonda na lile 'gang' bado hii jinai itawahusu.
 
Malipo ni hapa hapa duniani, natamani kuwajua wahusika.
 
Mpaka leo hakuna hata sisimizi mmoja aliehojiwa kuhusiana na tukio hili.

Ni wazi mkono wa dhalimu yule mwendazake ulikuwepo na waratibu wakuu wakiwa ni yule alieonekana akiondoka mwendo kasi kurudi jijini mwake muda mfupi baada ya tukio na yule mnyea ndoo kule kisongo.
 
Mpaka leo hakuna bata sisimizi mmoja aliehojiwa kuhusiana na tukio hili.

Ni wazi mkono wa dhalimu yule mwendazake ulikuwepo na waratibu wakuu wakiwa ni yule alieonekana akiondoka mwendo kasi kurudi jijini mwake muda mfupi baada ya tukio na yule mnyea ndoo kule kisongo.
Muda utafika wata sema yote.
 
Back
Top Bottom