DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Uwe na haya basi!
 
TL hahitaji ku-stage move ambayo ni fatal namna hii wakati ni tayari maarufu na ana pesa za kumtosha tu. Kama hii unaona ame-stage mwenyewe basi hata bomu la ofisi za IMMA pia wali-stage kina Masha. Awamu hii ni kawaida sasa, hoja wanazijibu kwa vyombo vya dola (kukamatwa au kulipua bomu ofisi au kupiga risasi mhusika)
 
Oooh my God. Ooh no jamnii
πŸ™πŸ™πŸ˜‘πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³Mungu msaidie shujaa wangu. I'm crying for Lissu
 
Ukiwa unamaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
Lets be serious maisha ya mtu si ya kuchezea siasa na propaganda tuweke mbali turudi kwenye ubinadamu na tushindane kwa hoja, tusiharishe kwa mdomo. Kumbuka what goes around comes around.Tupatie ukweli maana inaelekea unajua mengi behind the scene
 
Mwenyekiti wa chadema itisha harambee kwenye TV sisi tutachangia pesa tundu Lisu asafirishwe haraka akatibiwe kwa hizi hospital zetu Bado znaweza zkamcheleweshea matibabu mh

Tundu Lisu nchi inakuhitaji kuliko wewe unavyohitaji nchi yetu

Mungu mlinde mje wako

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
10: yote hapo sio..
 
Kwa utawala huu wanaharati wengi watapotea. Hakuna mwanadamu aliye na mamlaka ya kutoa uhai wa mtu mwingine.Tumwombe Mungu atuvushe salama.
 
TL hahitaji ku-stage move ambayo ni fatal namna hii wakati ni tayari maarufu na ana pesa za kumtosha tu. Kama hii unaona ame-stage mwenyewe basi hata bomu la ofisi za IMMA pia wali-stage kina Masha. Awamu hii ni kawaida sasa, hoja wanazijibu kwa vyombo vya dola (kukamatwa au kulipua bomu ofisi au kupiga risasi mhusika)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…