Ee Mungu simama umtetee mwenyewe Shetani asidhihirishe ubora wake ktk hili Gate well soon Kamanda Lissu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe na haya basi!Scenario 1
Ukisoma tamko la Acacia la juzi Sept 4 utaona kuwa kampuni hiyo sasa inataka kurejesha uhusiano mzuri na serikali. Hata hivyo, ili mpango huu uweze kutekelezwa, lazima Acacia ihakikishe inaondoa liability; Lissu. Ni bahati mbaya ametumika bila kujua namna hawa mabeberu wanavyofanya kazi zake. Wakikuruhusu 'utazame mfalme akiwa uchi' with naked eyes, huwa unatengeneza your own liability - and they do eliminate such liabilities in their account anytime when it so dictates.
Scenario 2
Inawezekana kabisa kuna watu walinasa mawasiliano yake na walipaji kuwa wangempelekea mzigo wake. Watu wabaya wakafanya timing. Kuna haja ya kufanya thorough intel screen ya sababu ya kuwepo kwake mahali alipopigiwa risasi.
Tusubiri
Nimekupenda leo mjombaMkuu mimi pia ni binadamu nimelia baada ya kisikia taarifa hii mbaya siasa zisipandikize chuki. I have a bad day
Ukiwa unamaanisha nini?Ahhhhh kama kweli. Basi kuna mwizi anajiibia mwenyewe LET ME TELL YOU ALL STUPID PEOPLE Who think they know the government. Kama Serikali inataka ufe huwezi kupona. Na unaweza kufa hata guest ukila mzigo kwa dawa za viagra na ukaonek umemsaliti mkeo nni. Hiyo Cinema tu.
Lets be serious maisha ya mtu si ya kuchezea siasa na propaganda tuweke mbali turudi kwenye ubinadamu na tushindane kwa hoja, tusiharishe kwa mdomo. Kumbuka what goes around comes around.Tupatie ukweli maana inaelekea unajua mengi behind the sceneSubiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
Acha ulevi wa kisiasaKuna watu wanataka kumtoa Magufuli kwenye Urais ndani ya CCM, sasa wanapanga mipango ovu ili kumkosanisha na umma.Muda utaongea.
10: yote hapo sio..Yawezekana ni
1. Wazee wa makemikia
2. Ugomvi wa madaraka ndani ya chama
3.Ugomvi wa madaraka ndani ya TLS
4. Wamedhurumiana na ACACCIA kwenye
5. Ugomvi wa mahusiano
6. Wapiga kura wake wana hasira na kushindwa kutekeleza ahadi
7. Kutafuta kiki na support za kimataifa
8. Mabepari wamempiga ili kuchochea vurugu
9......