DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Scenario 1
Ukisoma tamko la Acacia la juzi Sept 4 utaona kuwa kampuni hiyo sasa inataka kurejesha uhusiano mzuri na serikali. Hata hivyo, ili mpango huu uweze kutekelezwa, lazima Acacia ihakikishe inaondoa liability; Lissu. Ni bahati mbaya ametumika bila kujua namna hawa mabeberu wanavyofanya kazi zake. Wakikuruhusu 'utazame mfalme akiwa uchi' with naked eyes, huwa unatengeneza your own liability - and they do eliminate such liabilities in their account anytime when it so dictates.

Scenario 2
Inawezekana kabisa kuna watu walinasa mawasiliano yake na walipaji kuwa wangempelekea mzigo wake. Watu wabaya wakafanya timing. Kuna haja ya kufanya thorough intel screen ya sababu ya kuwepo kwake mahali alipopigiwa risasi.

Tusubiri
Uwe na haya basi!
 
IMG-20170907-WA0008.jpg
 
TL hahitaji ku-stage move ambayo ni fatal namna hii wakati ni tayari maarufu na ana pesa za kumtosha tu. Kama hii unaona ame-stage mwenyewe basi hata bomu la ofisi za IMMA pia wali-stage kina Masha. Awamu hii ni kawaida sasa, hoja wanazijibu kwa vyombo vya dola (kukamatwa au kulipua bomu ofisi au kupiga risasi mhusika)
 
Oooh my God. Ooh no jamnii
🙁🙁😡😳😳😳Mungu msaidie shujaa wangu. I'm crying for Lissu
 
Ahhhhh kama kweli. Basi kuna mwizi anajiibia mwenyewe LET ME TELL YOU ALL STUPID PEOPLE Who think they know the government. Kama Serikali inataka ufe huwezi kupona. Na unaweza kufa hata guest ukila mzigo kwa dawa za viagra na ukaonek umemsaliti mkeo nni. Hiyo Cinema tu.
Ukiwa unamaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
Lets be serious maisha ya mtu si ya kuchezea siasa na propaganda tuweke mbali turudi kwenye ubinadamu na tushindane kwa hoja, tusiharishe kwa mdomo. Kumbuka what goes around comes around.Tupatie ukweli maana inaelekea unajua mengi behind the scene
 
Mwenyekiti wa chadema itisha harambee kwenye TV sisi tutachangia pesa tundu Lisu asafirishwe haraka akatibiwe kwa hizi hospital zetu Bado znaweza zkamcheleweshea matibabu mh

Tundu Lisu nchi inakuhitaji kuliko wewe unavyohitaji nchi yetu

Mungu mlinde mje wako


mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Yawezekana ni
1. Wazee wa makemikia
2. Ugomvi wa madaraka ndani ya chama
3.Ugomvi wa madaraka ndani ya TLS
4. Wamedhurumiana na ACACCIA kwenye
5. Ugomvi wa mahusiano
6. Wapiga kura wake wana hasira na kushindwa kutekeleza ahadi
7. Kutafuta kiki na support za kimataifa
8. Mabepari wamempiga ili kuchochea vurugu
9......
10: yote hapo sio..
 
Kwa utawala huu wanaharati wengi watapotea. Hakuna mwanadamu aliye na mamlaka ya kutoa uhai wa mtu mwingine.Tumwombe Mungu atuvushe salama.
 
TL hahitaji ku-stage move ambayo ni fatal namna hii wakati ni tayari maarufu na ana pesa za kumtosha tu. Kama hii unaona ame-stage mwenyewe basi hata bomu la ofisi za IMMA pia wali-stage kina Masha. Awamu hii ni kawaida sasa, hoja wanazijibu kwa vyombo vya dola (kukamatwa au kulipua bomu ofisi au kupiga risasi mhusika)
 
Back
Top Bottom