DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Sir GOD anatuangalia tu wanadamu tunavyotesana...ila na yeye uvumulivu humuishaga kipindi fulani.

Tusimfikishe kwenye hicho kipindi.

Jamani usiku mwema.
Mkuu kweli nimeamini kuwa taarifa hii umeipokea kwa masikitiko makubwa hadi mida hii unaaga usiku mwema? Get well Lissu
 
Our fellow MP for
Singida East Tundu
Lissu has been shot by
unknown people. He
has been rushed to
dodoma general
hospital~~~Zitto Kabwe
Very bad news, Tunamuombea kwa Mungu apate kupona
 
Kweli mkuu naona tunataka kuwapoteza wanaotupa changamoto tunataka kuongoza vibogoyo LISSU NA KIBATALA yafaa Taifa lijivunie ajabu wanatengwa wakat wanawapa changamoto wanasheria wa serikali.

Huenda TUNAONESHWA KWAMBA NCHI YETU HAIHITAJI WATU WENYE AKILI FIKIRISHI kama si KWAMBA TUNAHITAJI MABUBUSA NA WASHANGILIAJI KILA LISEMWALO PASINA KUJALI MUSTAKABALI WA NCHI YETU KIUCHUMI NA KIMAENDELEO.

Hatupaswi kuhoji hao kina NDIO MZEE wametufikisha vipi hapa hii leo.

Yanajengwa matukio ili kutuhamisha kwenye changamoto za kiuchumi na kimaisha tulizonazo. Hayatazamwi madhara kwa matukio yanayotengenezwa wala athari zake.
Tunazidi kutundikiwa weledi na kutawaliwa na fikra za leo yetu na si kesho wala vizazi vyetu.

Ukitaka kuamini wenye akili fikirishi hawahitajiki usifikirie kwa level ya TL mfikirie aliye-innovate Vespa kwanini walimkamata badala ya kumuunga mkono katika ubunifu wake! Hapo utafahamu tunaenda wapi!!!
Wako wanaoshangilia yanayoendelea...
 
Hakuna shida kwakua wanamuita nabii hata akifa atafufuka na atapaa ataendelea kuwasaidia maana nashangaa tangu lini mbunge akaongoza nchi nzima
Kwa hiyo ndio maana mnataka kumuua? Hivi wee jamaa umeandika ukiwa na akili timamu au bangi? Na kila baya ulilomuwazia Lissu namwomba Mungu likurudie...

Mungu ndio alituumba na yeye ndie atakaekuwa na mamlaka ya kutuchukua na sio kwa nguvu za binadamu

Shame on you....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

My take,

Wataalamu wa forensics wazipime hizo bullets zilizo kutwa kwa mwili wa lisu na zilizokutwa kwa gari na ndio mtajua siraha iliyo tumika na mmiliki kama record za siraha ziko sahihi.

One of the very terrified mistake attempted kwa walio tumwa hii yaweza leta machafuko ndani ya nchi wakifanya mizaha kama hiyo.

Na kulichafua Taifa letu katika msingi tulio uzoea wa Amani sasa nchi itakuwa na sintofahamu ya freedom of speech tuna rudi kwenye ukoloni maomboleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…