DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Uchunguzi ufanywe kwa umakini mkubwa ili kuwabaini hawa watu wasiojulikana wenye kutenda haya matendo ya kinyama na ya hovyo kiasi hiki ili tu kuichafua serikali na mh rais na serikali yake.
 
dah tunapo elekea ni kubaya sana tuungane na tusaidieane kabla hatujazama shimoni Mungu amsaidie Mh Lissu

G.O.M.D
 
Ndugu kwa haya yanayotokea lazima tufike mahali tuone yakuwa alichofanyiwa ndugu yetu ni kizuri kama sio Kizuri tujitahidi kuondoa mihemko ambayo mwisho sio mzuri kama taifa lenye umoja uliojengwa kwa muda.

Hivi haya yote yanayifanyika yanafaida kwa nani na kama anaona yanampafaida Je anaamini ya kuwa Mwenyezi Mungu apangiwi muda wa kumwondoa mtu hapa duniani na kama analijua hilo asijisifue kwa jambo analolitenda kwa kila mmoja ataondoka kwa wakati wake.

Mwenyenzi Mungu amponyeshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu wanapiganishwa kwa vyanzo kama hivi halafu baadaye tunawaita waarabu wajinga,kikichafuka hapa sio sie tena ni mataifa mengine ndiyo wakati huo watatuona wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My take,

Wataalamu wa forensics wazipime hizo bullets zilizo kutwa kwa mwili wa lisu na zilizokutwa kwa gari na ndio mtajua siraha iliyo tumika na mmiliki kama record za siraha ziko sahihi.

One of the very terrified mistake attempted kwa walio tumwa hii yaweza leta machafuko ndani ya nchi wakifanya mizaha kama hiyo.

Na kulichafua Taifa letu katika msingi tulio uzoea wa Amani sasa nchi itakuwa na sintofahamu ya freedom of speech tuna rudi kwenye ukoloni maomboleo.
eti braza..wataalamu wa forensic na forensic zao walisaidia nini pale Ulimboka alivyoshangiliwa....Tatizo lissu ana akili katika taifa la mambumbumbu....atapotea na hakuna kitakachotokea
 
Back
Top Bottom